Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Hahaha! Mimi kitu nachokishangaa, Trump kaongea tu kuwa anaitambua Jerusalem kama mji mkuu wa esrael basi dunia nzima ime react. Alafu kuna watu watakuja kupiga kelele USA sio lolote, Yaan USA kaongea neno moja tu huko wengine wanatangaza vita, wengine wanaandamana, wengine mala ooh saudia atatusaliti. Hizi ndio zinazofanya niamini kuwa dunia inaendeshwa na tukio lolote litakalo anzishwa na USA, kila siku Iran anatamba kuwa ataifuta esral ila hakuna hata anayetingushika. Ila naamini esrael au Marekani akitangza kuifuta Irani nahisi dunia itakuwa kwenye tension kubwa. Kitu nilichojifunza ni kuwa Marekani bado anaitawala dunia kwa vyovyote iwe kauli zake au chochote atakachokifanya.
Vp ile kauli ya trump kuisambaratisha North Korea imeishia wapi
 
Israel anamzidi iran kwa kitu kimoja tu,Nuclear weapons.

Sasa hawa wairan ndo wamekuwa wakituma wanasayansi wao North korea kuuchukua uzoefu na kushare technology ya silaha mbalimbali,
hivi kama iran inafund majaribio ya North korea unadhani mpaka leo atakuwa hajamuster nuclear technology?.
Mbaya zaidi iran kishafungua korido,sasa wana njia ya nchi kavu toka iran-iraq-syria-lebanon,
maana yake ni kuwa israel atategemea kuishambulia iran kwa ndege,na
hizo ndege mpaka zikubaliwe kupita anga la saud arabia,mbaya zaidi israel hawezi kulishinda taifa kubwa la watu milion 80 kwa mashambulizi ya ndege tu,israel hana uwezo wa kudeploy ground force ndani ya iran.
Lakini iran anaweza ndani ya masaa 48 kuingiza wanajeshi wake ndani ya israel kwa kupitia syria ama lebanon.
Na hii ndo maana israel hataki kabisa kusikia iran wanaweka base syria,

tatizo tu ni kuwa iran ni very shrewd peopels,
bila israel kutumia nuclear watapigwa na iran asubuhi tu.
Sasa kama iran nao wana nuclear itakuwa noumer sana
shkamoo
 
Israel ni Taifa teule la Mungu,huo msikiti lazima ubomolewe.Wale walioudhuria mkutano wa injili Masasi mwezi wa tisa ambao alikuwa anaubiri muisraeli yule alisema kabisa msikiti tunabomoa na maandalizi na vifaa vyote vya ujenzi wa kanisa tumekamilisha.Yule muubiri wa kiyahudi alitamba kuwa atayeye vita itakapoanza atapigana.Waulizeni makanisa ya kipentekoste yaliyokuwa wenyeji wa mkutano huo Masasi watawaeleza,mskiti LAZIMA UBOMOLEWE.
Mda si mrefu dunia itageuka majivu,huku Kim .Kyle palestina mchochezi mmoja.ila hakuna dola iliyowahi kukaa madarakani milele IPO Siku watu watajitoa mhanga kwa USA.
 
Hii jamii ni ya watz ni ya watu wa ajabu sana eti wengine wanajifanya ni wamarekani wengine ni wa Iran wengine ni wapalestina, yaani ni ujinga ujinga mtupu na mnatoa povu balaa, ukiangalia badala ya kujadili tutatokaje kwenye umaskini elimu afya duni mmekaa kubishana ujinga, pumbafu sana vichwa kama miguu ya vunza
 
Marekebisho kidogo,. :- Mosque of Dome, umejengwa juu ya misingi ya hekalu la kwanza la waisrael lililojengwa na Mfalme Sulemani. Na sehemu ya ndani ya pazia,(Holy of Hollies) palipokuwa maskani ya sanduku la agano(Arc of covenant), ndipo Waislamu walijenga sehemu inayoitwa "Shrine of spirits". Unajua ni kwa nini panaitwa shrine of spirits?.kwa sababu, kila aliyekanyaga sehemu hiyo alianguka na kufa ghafla, na ndipo walizungshia kijumba ili watu wasikanyage sehemu hiyo wasije wakafa. Chini ya Shrine of spirits ndipo ilipo tunnel inayoelekea nje ya mji wa Jerusalem hadi Golgotha aliposulubiwa Yesu, mahali ambapo sanduku la agano lilihifadhiwa kusubiri ukombozi wa Mwanaadamu ambapo damu ya Yesu, baada ya kuchomwa mkuki ubavuni, ilichuruzikia juu ya kiti cha Rehema,( juu ya mfuniko wa sanduku la agano). Sanduku la agano tayari waisraeli wanalo lilifukuliwa na Bw Ron Wyatt hapo golghota Mita 12, chini ya sehemu aliposulubiwa Yesu Kristo.
Asante sana mkuu,yumkini hilo ndilo lile chukizo lililotabiriwa na Yesu mwenyewe kuwa litakaposimama Yerusalem yeye mwenyewe atarudi,kwa sababu hiyo ni au Israel watashinda au Yesu atarudi. Tusubiri.
 
Mmarekani,anaendeshwa mchamchaka na dogo kiduku,ameona kule kugumu,anataka asahaulishe ya kiduku,ndio akaona atoke vipi,ndio akaja na ya Jerusalem,huku ndio ngoma nzito,haiwezi kabisa.
Fikiria wapalestina,hawapati msaada wala silaha kutoka Amerika, tofauti na Israel anasaidiwa silaha,misaada na America na hana kikwazo chochote,lakini anaendeshwa puta na Palestina,asiyekuwa na msaada kutoka kokote na vikwazo juu.
Wapalestina wala hawapigani na waIsrael. Pia wala hawana ugomvi nao. Huu ni ukweli mchungu

Shida ya palestina ni kule kukaliwa na haya makundi ya kigaidi kama Hamas, Hezbollah ambayo yanapata sapoti kutokea Iran ili kuharibu ustawi wa Mwana halali yaani Israel.

Wenye Uchungu ni hao wachochezi yaani
"Arab foreigners". Na chuki yao kwa Israel ndio inayowafanya waendelee kuchochea kuni zaidi.

Ukitaka kujua Mungu kashafanya maamuzi tangu zamani dhidi ya Mwana wa haramu(Bastard). Angalia matokeo mpaka sasa Israel ni Taifa na imekaa pale Mungu aliagiza wakae.
Wapalestina wamebaki wakilialia tu.

Waarabu bhana, Wanajitia kujifanya wanapenda vita na majasiri, lakini wakiletewa mlangoni wanalialia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukitaka kujua kauli za huyo jenerali wa Iran haina mashiko hata tone. Cheki Sio Ulaya wala America wamezitolea ufafanuzi.
Hata ile television ya CNN yenye Chuki na utawala wa Trump bado haijaona kama hii news inafaa kujadiliwa kwa kina...

Talking is cheap. Israel imefanya Tukio LA kuutangaza Jerusalem na wao wafanye tukio kama wanaume sio kuleta vichambo vya kike. Kutujazia saver na magazeti kwa mkwara hewa.

Mfano, waarabu kabla ya Mwaka 1948 walikua wanaume kwelikweli, lakini wa sasa wako kama wanawake. Ndevu hata beberu anazo.

Manake nikikumbuka Mwaka 48, wakati Israel ilipojitangazia utaifa tu, waarabu hawakukimbilia kwenye media kulialia kama hivi Leo, walichofanya ni kuingia vitani moja kwa moja dhidi ya Israel na walichokipata ni Mungu Mwenyewe tu ndiye anayejua.

Mpaka Leo hawajathubutu kucheza na Moto tena.

Mark my words usiamini kauli za huyu mwanajeshi wa Iran, anaongea porojo. Anajua hawezi.

Taifa lenye Nguvu sikuzote hawategemei kusikilizwa kwa kutema mikwara wa vita.

Dunia imestaarabika sana.

Wanajenga hoja na zinaeleweka na mwishowe hukubalika. Ukiona taifa linakimbilia kutaka vita ujue ndio yaleyale mataifa madogo duniani.
Kama North Korea, Iran, kwao kutishia vita ndio njia pekee walionayo ya kuwezesha kusikilizwa.
 
Isaya 60.
1Inuka ee Siyoni uangaze;
maana mwanga unachomoza kwa ajili yako,
utukufu wa Mwenyezi-Mungu unakuangaza.
2Tazama, giza litaifunika dunia,
giza nene litayafunika mataifa;
lakini wewe, Mwenyezi-Mungu atakuangazia,
utukufu wake utaonekana kwako.
3Mataifa yataujia mwanga wako,
wafalme waujia mwanga wa pambazuko lako.
4Inua macho utazame pande zote;
wote wanakusanyika waje kwako.
Wanao wa kiume watafika toka mbali,
wanao wa kike watabebwa mikononi.
5Utaona na uso wako utangara,
moyo wako utasisimka na kushangilia.
Maana utajiri wa bahari utakutiririkia,
mali za mataifa zitaletwa kwako.
6Makundi ya ngamia yataifunika nchi yako,
naam, ndama wa ngamia kutoka Midiani na Efa;
wote kutoka Sheba watakuja.
Watakuletea dhahabu na ubani,
wakitangaza sifa za Mwenyezi-Mungu.
7Makundi ya kondoo wa Kedari yatakusanywa kwako,
utaweza kuwatumia kondoo madume wa Nebayothi kuwa kafara;
utawatoa kuwa tambiko inayokubalika madhabahuni pa Mungu,
naye ataitukuza nyumba yake tukufu.
8Nani hao wanaopepea kama mawingu,
kama njiwa wanaoruka kwenda viotani mwao?
9Ni meli zitokazo nchi za mbali,
zikitanguliwa na meli za Tarshishi.
Zinawaleta watoto wako,
pamoja na fedha na dhahabu yao,
kwa sifa ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,
kwa sifa ya Mungu, Mtukufu wa Israeli,
maana amewafanya mtukuke.
10Mwenyezi-Mungu asema:
“Wageni watazijenga upya kuta zako,
wafalme wao watakutumikia.
Maana kwa hasira yangu nilikupiga,
lakini kwa fadhili yangu nimekuhurumia.
11 60:11 Taz Ufu 21:25-26 Malango yako yatakuwa wazi daima;
usiku na mchana hayatafungwa,
ili watu wakuletee utajiri wa mataifa,
pamoja na wafalme wao katika maandamano.
12Kila ufalme au taifa lisilokutumikia litaangamia;
mataifa hayo yatatokomezwa kabisa.
13“Utaletewa fahari ya msitu wa Lebanoni:
Mbao za miberoshi, mivinje na misonobari,
zitumike kupamba mahali pa maskani yangu;
nami nitaparembesha hapo ninapokaa.
14 60:14 Taz Ufu 3:9 Wazawa wa wale waliokudhulumu,
watakuja na kukuinamia kwa heshima.
Wote wale waliokudharau,
watasujudu mbele ya miguu yako.
Watakuita: ‘Mji wa Mwenyezi-Mungu’,
‘Siyoni, Mji wa Mtakatifu wa Israeli’.
15“Wewe ulikuwa umeachwa na kuchukiwa,
hakuna aliyependa hata kupitia kwako.
Lakini sasa nitakufanya uwe na fahari milele,
utakuwa mji wa furaha kizazi hata kizazi.
16Utaletewa chakula na watu wa mataifa,
naam, wafalme watakupatia chakula bora.
Hapo utatambua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ni Mwokozi wako;
mimi Mwenye Nguvu wa Yakobo ni Mkombozi wako.
17“Badala ya shaba nitakuletea dhahabu,
badala ya chuma nitakuletea fedha,
badala ya miti, nitakuletea shaba,
na badala ya mawe nitakuletea chuma.
Amani itatawala juu yako,
uadilifu utakuongoza.
18Ukatili hautasikika tena nchini mwako;
wala uharibifu na maangamizi ndani ya mipaka yako.
Utaweza kuziita kuta zako: ‘Wokovu’,
na malango yako: ‘Sifa’.60:18 Wokovu, Sifa: Majina mapya yanamaanisha hali mpya.
19 60:19 Taz Ufu 21:23 “Hutahitaji tena jua kukuangazia mchana,
wala mwezi kukumulikia usiku;
maana mimi Mwenyezi-Mungu ni mwanga wako milele;
mimi Mungu wako nitakuwa fahari yako.
20Mwanga wako mchana hautatua kama jua,
wala mwangaza wako usiku kufifia kama mbalamwezi;
maana Mwenyezi-Mungu ni mwanga wako milele,
nazo siku zako za kuomboleza zitakoma.
21Watu wako wote watakuwa waadilifu,
nao wataimiliki nchi milele.
Hao ni chipukizi nililopanda mimi,
kazi ya mikono yangu kwa ajili ya utukufu wangu.
22Aliye mdogo kati yenu atakuwa ukoo,
aliye mdogo kuliko wote atakuwa taifa kubwa.
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu;
wakati ufikapo nitayatekeleza hayo haraka.”

kwa kifupi Wapalestina halisi wala hawapo Palestina. Wale ni Waaarabu wahamiaji tu. Origiona Phalistin (Wafilisti) hata kama wapo ni wachache sana.
 
Mkuu hapa umemaliza zizi wa fitina,fikiria mpalestina hana msada wa silaha kutoka America,wala msaada toka Amerika,ni vikwazo juu,lakini anamuendesha puta Muisrael na muamerika,hawalali usingizi wa raha.Je wakipata misaada ya silaha na misaada,kutabaki muisrael?

Mkuu umemsikia jana mturuki nae kaliamsha dude[emoji3]
Waziri wa mambo ya nje wamarekani imebidi afanye ziara ya ghafla nchi za ulaya kuomba sapoti kila mmoja kachomoa[emoji3]na kumwambia hilo swala ni gumu saana halitaki maamuzi ya haraka[emoji3]
 
Mkuu umemsikia jana mturuki nae kaliamsha dude[emoji3]
Waziri wa mambo ya nje wamarekani imebidi afanye ziara ya ghafla nchi za ulaya kuomba sapoti kila mmoja kachomoa[emoji3]na kumwambia hilo swala ni gumu saana halitaki maamuzi ya haraka[emoji3]
Hawa wanawachokoza wapenda amani duniani,bado nchi za kiafrika zinazopenda amani,hazijajibu mapigo hapo.
 
Usikariri mkuu, unaikumbuka vita ya uajemi Kati ya nchi za ulaya zikiungana na marekani dhidi ya Iraq,... Iraq chini ya Saddam Hussein ilishinda vita. Lakini miaka kadhaa mbele huyo marekani akiwa na washirika wake wachache waliingia Iraq na kumkamata Saddam Hussein na kumchinja Kama kuku tu.

Hizo historia na records huwa zinabadilika kulingana na muda... Usikariri
Unazungumzia vita ya Ghuba au kuna vita nyingine?.Kama ni hii basi either hujui lengo la ile vita au unataka tuu kutudanganya makusudi.Sadam aliivamia Kuwait kwa ajili ya kujimilikisha biashara ya mafuta,lengo likiwa ni Iraq kuwa No 1 supplier wa mafuta midle East.Lengo kuu la vita ya Ghuba ilikuwa ni kumwondoa Sadam kuwait.Na kazi hii aliifanya marekani na washirika wake wa NATO kwa baraka za UN sababu kwa sheria za kimataifa Sadam alifanya kosa kuivamia Kuwait,Hivyo UN wliruhusu uvamizi ili Sadam aondolewe.Rais wa kipindi kile wa US alikuwa Bush Sr kama sikosei,yaani baba yake na George W.Bush.Vita hii iliitwa Operation desert Storm au Gulf war.Sadam aliondolewa Kuwait,ndani ya muda mfupi tu majeshi yote ya Sadam yaliondoka Kuwait,Bush alitaka kuendeleza vita hadi kuivamia Iraq lakini UN walikataa wakasema haikuwa moja ya Plan kumuondoa sadam.
 
Mkuu ,neno ukristo limetengenezwa na paulo ambae nyie mnamuita mtume,

Watu ote walikua na tamaduni za kiisram,.MUSA,DAUD.SULEMAN HADI YESU MWENYEWE ALIISHI KATIKA TAMADUNI NA SHELIA ZA KIISLAM ,
WAZUNGU WALIANZISHA AGANO JPYA NA KULITANGAZA ZAUDI ILI KUVULUGA TAMADUNI HIZO.KWAHIYI ,UKRISTO HAUPO UMETENGENEZWA TU ILI KUJA KUIVULUGA DUNIA VIZURI.
Hahahaha,Kumbe Yesu hakuwa myahudi tena?.Si huwa mnasemaga mayahudi ni adui wa Uislamu?.Yesu aliishi takita tamaduni za kiyahudi na alisali kwenye sinagogi la kiyahudi,Sasa sijui unaposema aliishi kislamu unamaanisha nini.Au kuvua viatu ndo ashakuwa Muislamu?
 
Hahahaha,Kumbe Yesu hakuwa myahudi tena?.Si huwa mnasemaga mayahudi ni adui wa Uislamu?.Yesu aliishi katika tamaduni za kiyahudi na alisali kwenye sinagogi la kiyahudi,Sasa sijui unaposema aliishi kislamu unamaanisha nini.Au kuvua viatu ndo ashakuwa Muislamu?
 
Msikiti ulijengwaje enzi za Mfalme Sulemani wakati Mohamm,ad mwenyewe kazliwa miaka zaidi 500 baada ya Ukristo kuanza na Uislamu kauanzisha karne ya 6 yaani miaka mia sita baada ya ukristo. Sulemani hakujenga Msikiti, acheni kujitoa ufahamu na kupotosha umma. Sulemani alijenga Hekalu la Wayahidi. Hivyo, haki ya lile Hekalu ni Wayahudi na siyo Wakristo wala Waislamu.
Kwani hilo hekalu ndio al aqsa,?
 
Mkuu hapa umemaliza zizi wa fitina,fikiria mpalestina hana msada wa silaha kutoka America,wala msaada toka Amerika,ni vikwazo juu,lakini anamuendesha puta Muisrael na muamerika,hawalali usingizi wa raha.Je wakipata misaada ya silaha na misaada,kutabaki muisrael?
Waarabu hawana morali ya kupigana na wayahudi wakashinda vita.Iran ana silaha nyingi tu sawa na Israel au pengine kamzidi,ila ikitokea vita kitakachowashinda ni Morali na Teknik za kushinda vita.Waarabu wana majenerali wa hovyo sana,sijui mafunzo yao ya vita huwa wanayapata wapi.
 
Israel ni Taifa teule la Mungu,huo msikiti lazima ubomolewe.Wale walioudhuria mkutano wa injili Masasi mwezi wa tisa ambao alikuwa anaubiri muisraeli yule alisema kabisa msikiti tunabomoa na maandalizi na vifaa vyote vya ujenzi wa kanisa tumekamilisha.Yule muubiri wa kiyahudi alitamba kuwa atayeye vita itakapoanza atapigana.Waulizeni makanisa ya kipentekoste yaliyokuwa wenyeji wa mkutano huo Masasi watawaeleza,mskiti LAZIMA UBOMOLEWE.
Vifaa vilishaandaliwa toka miaka ya 2000 na siku ukisikia msikiti huo umebomolewa na bado upo duniani jua UMEACHWA ktk unyakuo. Hivyo unajiandaa na miaka saba ya dhiki dunian.
Msikiti ukibomolewa tunaita the beginning of the end of this world
 
Waarabu hawana morali ya kupigana na wayahudi wakashinda vita.Iran ana silaha nyingi tu sawa na Israel au pengine kamzidi,ila ikitokea vita kitakachowashinda ni Morali na Teknik za kushinda vita.Waarabu wana majenerali wa hovyo sana,sijui mafunzo yao ya vita huwa wanayapata wapi.
Hayo mapigo anayopata muisrael kutoka kwa Mungu yanamtosha,wataka apigwe na waarabu :
1:Kuishi kwa kutangatanga
2:Kutokuwa na uzazi(hawaongezeki).
3:Kuishi kwa hofu,hawana raha.
4:Hawajiamini.
5:Kuishi kwa kumtegemea muamerika.
 
Israel anamzidi iran kwa kitu kimoja tu,Nuclear weapons.

Sasa hawa wairan ndo wamekuwa wakituma wanasayansi wao North korea kuuchukua uzoefu na kushare technology ya silaha mbalimbali,
hivi kama iran inafund majaribio ya North korea unadhani mpaka leo atakuwa hajamuster nuclear technology?.
Mbaya zaidi iran kishafungua korido,sasa wana njia ya nchi kavu toka iran-iraq-syria-lebanon,
maana yake ni kuwa israel atategemea kuishambulia iran kwa ndege,na
hizo ndege mpaka zikubaliwe kupita anga la saud arabia,mbaya zaidi israel hawezi kulishinda taifa kubwa la watu milion 80 kwa mashambulizi ya ndege tu,israel hana uwezo wa kudeploy ground force ndani ya iran.
Lakini iran anaweza ndani ya masaa 48 kuingiza wanajeshi wake ndani ya israel kwa kupitia syria ama lebanon.
Na hii ndo maana israel hataki kabisa kusikia iran wanaweka base syria,

tatizo tu ni kuwa iran ni very shrewd peopels,
bila israel kutumia nuclear watapigwa na iran asubuhi tu.
Sasa kama iran nao wana nuclear itakuwa noumer sana
Waarabu hawaminiki vitani hata siku moja,Yaani unaamini Irani watawapiga wayahudi Siku moja?..Hahahah U must be joking my brother.Ukubwa wa jeshi la Irani huwezi kusema eti ndo kigezo cha kushinda vita,Myahudi alishapigana vita akiwa outnumbered na akashinda,ana historia na uzoefu huo.Waarabu ni watu wanaoishiwa morali mapema sana,hawaaminiki na pia wanaongozwa na magenerali wasiyo na uzoefu,vyeo jeshini wanapeana kwa vigezo vya urafiki na Dini/dhehebu na siyo ubobezi.
Defense tech Myahudi yuko njema sana,Pia Air force ya Iran bado ipo nyuma kulinganisha na wayahudi,thats the truth
 
Back
Top Bottom