Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Kwani hilo hekalu ndio al aqsa,?
MLIENDA KUJENGA MSIKITI WENU JUU YA MSINGI WA HEKALU LA WATU LILILOBOMOLEWA NA JENERALI TITO MRUMI MWAKA 70 BAADA YA KRISTO. TAFUTENI KIWANJA CHENU KINGINE MKAHAMISHE MSIKITI WENU. ULE UTABOMOLEWA BILA MJADALA. KAMA KUNA MAJINI YENU KULE NENDENI MKAYATOE TU. WAYAHUDI CHINI YA YULE JEMEDARI WAO NETANYAHU HAWALIACHI LILE.
 
Hii naona ni strategy nzuri sana ya US kuanza kuuza silaha sasa maana nchi za kiarabu zitaanza kupoteana.
 
Hayo mapigo anayopata muisrael kutoka kwa Mungu yanamtosha,wataka apigwe na waarabu :
1:Kuishi kwa kutangatanga
2:Kutokuwa na uzazi(hawaongezeki).
3:Kuishi kwa hofu,hawana raha.
4:Hawajiamini.
5:Kuishi kwa kumtegemea muamerika.
Hahahaha,aisee hiyo No 2.ni uwongo wa mchana kabisa,hakuna jamii iliyozaliana kama wayahudi.Yaani na mavita yote hayo walivyouawa ungekuwa walishapotea kabisa kwenye uso wa dunia.
 
WAAFRIKA WANAPOPOTEZA MUDA KUJIPENDEKEZA KWA MYAHUDI,MUARABU NA MMAREKANI..

WAAFRIKA PAMBANENI MUIJENGE AFRIKA YENU NA MUWE NA NABII WENU MWEUSI SIO KUJIPENDEKEZA HUKU..
 
WAARABU WEUSI VS WAISRAELI WEUSI JF, NI VITA KALI SANA NA ATAKAYESHINDA ATASAFIRISHWA KUWA MTUMWA ISRAELI AU ARABUNI HUKO..
 
Al aqsa,ni msikiti wa nabii suleman,kuvunjwa kwa msikiti huo ni kiashilia kimojawapo cha mwisho wa dunia.

Sinagogi/msikiti huo ki ramani upo parestina, msikiti ule unafaida nyingi kwa wakazi wa maeneo yale na nchi.

Msikiti ule umeanza kugombaniwa kalibu na madhehebu.yote makubwa.
Waislam wanasema wakwao,
Wakristo wanasema wakwao,
Wayahudi.wanasema wakwao.

Kwahiyo waisrael roho.zao.mbaya wanatamani obomolewe ili wakose ote.

Mitume wamesha tabili juu ya huu msikiti.

Pamoja na ubabe wao waisrael lakini nao pia wameshatabiliwa mwisho wao upo.
Sio kweli Mfalme Suleiman alijenga hekalu. Huo msikiti ni wenu Waarabu na ni lazima ubomolewe ili Hekalu Takatifu la Bwana lijengwe.
Wapalestina ni Wafilisti hawana haki yoyote ile Jerusalem.
 
Nakumbuka Rais wa Iran aliyepita aliwahi kuuambia Ulimwengu kuwa, ipo siku atakuja kuifuta Israel katika Ramani ya Dunia.
 
Wairan wana akili sana. Tatizo lao ni dini waliyoichagua. Bora wangebaki na Uzorostan wao.
 
Jenerali Jaafari: Quds Tukufu Itakuwa kaburi la utawala bandia wa Kizayuni
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, lengo kuu la Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuubomoa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds. Ameongeza kuwa: Mji wa Quds utakuwa kaburi la utawala bandia wa Kizayuni.
Meja Jenerali Mohammad Ali Jaafari ameyasema hayo Jumamosi wakati akizungumza na maafisa katika Kamandi Kuu ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu. Akiashiria uamuzi wa hivi karibuni wa Rais Donald Trump wa Marekani kutambua rasmi mji wa Quds kama mji mkuu wa utawala bandia wa Israel, ameongeza kuwa: "Hayo yote ni utangulizi wa kuangamiza Msikiti wa Al Aqsa na Waislamu wanapaswa kufahamu kuwa, iwapo hawatachukua hatua za haraka kukabiliana na njama hii chafu, basi watapoteza wakati kwa kasi."
Meja Jenerali Jaafari amesema Marekani na utawala wa Kizayuni zimetenda ujinga mkubwa zaidi wa kihistoria dhidi ya Quds Tukufu na kuongeza kuwa: "Uamuzi huu ni matokeo ya mazungumzo na maafikiano yaliyofikiwa na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Saudia Arabia." Amefichua Marekani ilizifahamisha nchi hizo za Kiarbau kuhusu uamuzi huo dhidi ya Quds miezi kadhaa iliyopita.
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameendelea kusema kuwa: "Utawala wa Saudi Arabia inataka Waislamu walaani tu kwa maneneo jinai ya hivi karibuni ya Marekani na waridhike tu na kutoa taarifa za kulaani." Amesema Saudia imefikia mapatano na Markeani pamoja na Israel kutochukua hatua zozote za kutetea na kuulinda mji wa Quds na kuhakikisha kuwa kadhia ya Palestina inaondlewa katika duara la masuala muhimu ya Ulimwengu wa Kiislamu.
Meja Jenerali Jaafari ameashiria kusambaratika njama za maadui wa Umma wa Kiislamu na kusema: "Umma wa Kiislamu mara hii pia, sawa na kadhia za Kuristan ya Iraq, Lebanon na Yemen, itasambrataisha mehsabi ya maadui na kuwaadhibi wasaliti.
Source;parstoday
Jeneral kapata wapi ujasiri wa kukumbatia jiko lenye makaa ya mawe ya moto [emoji1] nawapenda waislam ila naumia wanapo ingia mgogoro na Islaeri
Hawa waislaeri hawapigiki kilaisi tulejee kuangalia
Operation Entebbe ya 1776
Egypt Israel war 1967
Egypt Israel war 1973
Hizo ni za kitambo lakini Israel hakushindwa kuiaminisha nchi pinzani kuwa hawashindwagi
 
And we think we've had it bad �

Read this speech from the prime minister of Israel..... Benjamin Netanyahu, with all Glory to God.

Mr. Nethanyahu said:
Only 70 years ago! The Jews were taken to the slaughter like sheep.

60 years ago! We had no country. No Army.

Seven Arab countries declared war on our small Jewish state, just a few hours after its creation!

We were only 650 Jews, against the rest of the Arab world! NO IDF (Israel Defense Army).
No powerful Air Force, only brave people with nowhere to go.

Lebanon, Syria, Iraq, Jordan, Egypt, Libya, Saudi Arabia all attacked us at the same time.

The country that the United Nations gave us was 65 % desert. The country was out of nowhere!

35 years ago! We fought the three most powerful armies in the middle east, and we swept them... yes... in six days.

We fought against various coalitions of Arab countries, which had the modern armies and many Soviet weapons, and we had always beaten them!

Today we have:
*A country*
*An army*
*A powerful air force*
*A State-of-the-Art economy which exports millions of dollars*
*Intel - Microsoft - IBM develops products at home*
*Our doctors receive awards for medical research*

We make the desert bloom, and sell oranges, flowers and vegetables all over the world.

Israel has sent its own satellites into space!
Three satellites at the same time!

We are proud to be at the same rank as: The United States, which has 250 million inhabitants,

Russia, which has 200 million inhabitants

China, which has 1.3 billion inhabitants

Europe - France, Great Britain, Germany - with 350 million inhabitants..

The only countries in the world to send objects into space! Israel is now part of the family of the nuclear powers, with the United States, Russia, China, India, France, and Great Britain.

We have never officially admitted it, (but everyone knows it) and say that only 60 years ago, we were led, ashamed and hopeless, to slaughter!

We have extirpés the smoking ruins of Europe, we have won our wars here with less than nothing. We built our little "Empire" from nothing.

Who's Hamas to scare me? To terrify me? You make me laugh!

Passover was celebrated; Let's not forget what this is about.

>We survived Pharaoh.
>We survived the Greeks.
>We survived the Romans.
>We survived the inquisition in Spain.
>We have the pogroms in Russia.
>We survived Hitler.
>We survived the Germans.
>We survived the Holocaust.
>We survived the armies of seven Arab countries.
>We survived Saddam.
>We will continue to survive the enemies present today too.

Think of any time in human history! Think about it, for us, the Jewish people, the situation has never been better! Then let's face the world.

Let us remember: All nations or cultures who once tried to destroy us, no longer exist today - while we still live!

Egypt?
The Greeks?
Alexander of Macedonia?
The Romans? (does anyone still speak Latin these days? )
The Third Reich?

And look at us,
>The Bible Nation.
>The slaves of Egypt.
>We are still here.

And we speak the same language! then, and now! Arabs don't know yet, but they will learn that there is a God ....as long as we keep our identity, we are forever.

So forgive us for not worrying.
>Not to cry.
>Not to be afraid.
>Things are fine here.
>They could certainly get better.

However: Don't believe the media, they don't tell you that parties continue to take place, people continue to live, people keep coming out, people continue to see friends.

Yes, our morale is low. So what? Only because we mourn our deaths, while others rejoice in the blood shed. That is why we will win, in the end.

He never sleeps or will ever sleep.... the guardian of Israel.... Yahweh God of Abraham, Isaac and Jacob.

Forward this speech to the whole community, and to people around the world. They are part of our strength.
 
Wote wanabweka sawa na Mbwa koko tu hakuna wa Kumgusa Israel na USA...Russia yenyewe asilimia kubwa wale ni Jewish dunia ina siri nyingi...God Bless Israel....God Bless Jerusalem
 
Back
Top Bottom