Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Iran; Jerusalem itageuka kuwa kaburi la Israel

Mkuu ,neno ukristo limetengenezwa na paulo ambae nyie mnamuita mtume,

Watu ote walikua na tamaduni za kiisram,.MUSA,DAUD.SULEMAN HADI YESU MWENYEWE ALIISHI KATIKA TAMADUNI NA SHELIA ZA KIISLAM ,
WAZUNGU WALIANZISHA AGANO JPYA NA KULITANGAZA ZAUDI ILI KUVULUGA TAMADUNI HIZO.KWAHIYI ,UKRISTO HAUPO UMETENGENEZWA TU ILI KUJA KUIVULUGA DUNIA VIZURI.
Eti kiislamu ila waislamu mnajua kujidanganya sana
 
Uislam umekuja juzi, Jews waliabudu katika hilo Hekalu Miaka zaidi ya elfu moja kabla ya Uislam. Mohamed akaja baadaye sana akatohoa katika Andiko baadhi ya mambo. Kwa hiyo sasa alikuwa anaiga kuabudu kama Wayahudi ili awafukuze katika maeneo yao au ajihalalishie milki ya ardhi yao? Nonsense!.

Ukristo umeingiaje kwanza hapa? Hutaweza kuelewa hata nikianza kukuelezea kwa hapa. Wewe kama una hoja, ya imani, ongelea Judaism na Huo uislam. Wayahudi wanataka eneo lao kwa ajili ya hekalu lao. Sasa ikiwa mohamedi alianzisha ibada ya kuabudu kama Wayahudi, anapashwa kuona haya kulazimisha kunyang'anya eneo la watu eti kwa kuwa aliwaiga wanavyosali!. Upuuzi!

Hao uliowataja hapo ni sawa walikuwepo kabla ya uislam ,je'walikua wanaswali kwa mtindo gani wanapoingia kwenye sehemu ya kumuomba mungu?
Je, wanaendana na waislam au wakristo wa sasa?
 
Hawa wana laana,ndio ukaona Hitler,aliwauwa maelfu,na asili yao walifanywa watumwa Misri,kutokana na ujinga wao.Hawa hawamkubali Yesu, wanasema ni mtoto wa nje ya ndoa.Na laana hii inawatafuna sana,fikiria nchi za kiarabu zuko nyingi,lakini wao, idadi yao ndi ndogo sana,hii pia ni laana kwa kutozaana,kasababu vitabu vyote vya dini, vinasema zaaneni,muongezeke,lakini wao, hawana kizazi kwa laana, walionayo.

Wewe unamkubali Yesu kuwa ni Kristo?
 
Israel anamzidi iran kwa kitu kimoja tu,Nuclear weapons.

Sasa hawa wairan ndo wamekuwa wakituma wanasayansi wao North korea kuuchukua uzoefu na kushare technology ya silaha mbalimbali,
hivi kama iran inafund majaribio ya North korea unadhani mpaka leo atakuwa hajamuster nuclear technology?.
Mbaya zaidi iran kishafungua korido,sasa wana njia ya nchi kavu toka iran-iraq-syria-lebanon,
maana yake ni kuwa israel atategemea kuishambulia iran kwa ndege,na
hizo ndege mpaka zikubaliwe kupita anga la saud arabia,mbaya zaidi israel hawezi kulishinda taifa kubwa la watu milion 80 kwa mashambulizi ya ndege tu,israel hana uwezo wa kudeploy ground force ndani ya iran.
Lakini iran anaweza ndani ya masaa 48 kuingiza wanajeshi wake ndani ya israel kwa kupitia syria ama lebanon.
Na hii ndo maana israel hataki kabisa kusikia iran wanaweka base syria,

tatizo tu ni kuwa iran ni very shrewd peopels,
bila israel kutumia nuclear watapigwa na iran asubuhi tu.
Sasa kama iran nao wana nuclear itakuwa noumer sana
 
Walijaribu in six days wakanyooshwa
 
Wewe unamkubali Yesu kuwa ni Kristo?
Watu waka muuliza,hivi wewe ni nani ?nae akawauliza nyie mnaniona mimi ni nani? Nao wakamjibu wewe ndio yesu kristo ?nae akawajibu siri yenu msimwambie mtu.

PAOLO AMEMZALILISHA SANA NABII ISSA. NABII ISSA HAWEZI KUFANYA UJINGA KAMA ALIOKUA ANAUTAKA PAOLO.

NABII ISSA ALITAJWA KWENYE AGANO LA KALE,ILITOSHA KABISA. ATAKUJA KUWAKANA SIKU YA MWISHO.
 
Kwa nini unaacha suala la Jerusalem na msikiti, dhidi ya Jerusalem na Israel na Uyahudi?

Unanyambanyamba tu hata hujui unataka kutetea nini. Sina muda huo. Kwa heri.
 
Hawezi ,ni maneno tu, dogo kiduku anamshindwa,ataweza ngoma nzito ya waarabu,na waislamu dunia nzima.Muisrael anaendeshwa puta na mpalestina,asiyekuwa na silaha yoyote ya msaada,ataweza wenye silaha.
[emoji4]
 
Kwa wakristo wanaojitambua na wenye maarifa madhubuti ya dini yako hawakubali JERUSALEM kuwa MJI mkuu Wa Taifa Kiyahudi.....
Ila wale wenye kufuata matamanio tu...
 
Trump kachemka NK sasa anahamia kwingine kutafuta kiki huku ya NK ikipotea kimyakimya
 
Israel anamzidi iran kwa kitu kimoja tu,Nuclear weapons.

Sasa hawa wairan ndo wamekuwa wakituma wanasayansi wao North korea kuuchukua uzoefu na kushare technology ya silaha mbalimbali,
hivi kama iran inafund majaribio ya North korea unadhani mpaka leo atakuwa hajamuster nuclear technology?.
Mbaya zaidi iran kishafungua korido,sasa wana njia ya nchi kavu toka iran-iraq-syria-lebanon,
maana yake ni kuwa israel atategemea kuishambulia iran kwa ndege,na
hizo ndege mpaka zikubaliwe kupita anga la saud arabia,mbaya zaidi israel hawezi kulishinda taifa kubwa la watu milion 80 kwa mashambulizi ya ndege tu,israel hana uwezo wa kudeploy ground force ndani ya iran.
Lakini iran anaweza ndani ya masaa 48 kuingiza wanajeshi wake ndani ya israel kwa kupitia syria ama lebanon.
Na hii ndo maana israel hataki kabisa kusikia iran wanaweka base syria,

tatizo tu ni kuwa iran ni very shrewd peopels,
bila israel kutumia nuclear watapigwa na iran asubuhi tu.
Sasa kama iran nao wana nuclear itakuwa noumer sana
IDF na jeshi la anga la Israel liko vzr sn... Linaweza kupiga target nyingi ndani ya Iran na IDF ikaingiza askari wa miguu kupita Lebanon..

So usiichukulie poa Israel wakati ata Saudia baba WA waarabu anaogopa
 
Hivi wewe na Pope Fransis nani yuko well informed?

Mtu yuko Nangurukulu anajifanya kuijua dini kuliko pope alieko vatican.

Hii approach ya kuiteka jerusalem,kina pope Urban walishajaribu miaka ile ya 900 AD,
 
Msikiti ule uko ndani ya hekalu la Daudi,kwa hiyo wasipate shida sana ni muda muafaka wa dunia kumjua Mungu yupi anatawala hapo.
Marekebisho kidogo,. :- Mosque of Dome, umejengwa juu ya misingi ya hekalu la kwanza la waisrael lililojengwa na Mfalme Sulemani. Na sehemu ya ndani ya pazia,(Holy of Hollies) palipokuwa maskani ya sanduku la agano(Arc of covenant), ndipo Waislamu walijenga sehemu inayoitwa "Shrine of spirits". Unajua ni kwa nini panaitwa shrine of spirits?.kwa sababu, kila aliyekanyaga sehemu hiyo alianguka na kufa ghafla, na ndipo walizungshia kijumba ili watu wasikanyage sehemu hiyo wasije wakafa. Chini ya Shrine of spirits ndipo ilipo tunnel inayoelekea nje ya mji wa Jerusalem hadi Golgotha aliposulubiwa Yesu, mahali ambapo sanduku la agano lilihifadhiwa kusubiri ukombozi wa Mwanaadamu ambapo damu ya Yesu, baada ya kuchomwa mkuki ubavuni, ilichuruzikia juu ya kiti cha Rehema,( juu ya mfuniko wa sanduku la agano). Sanduku la agano tayari waisraeli wanalo lilifukuliwa na Bw Ron Wyatt hapo golghota Mita 12, chini ya sehemu aliposulubiwa Yesu Kristo.
 
Hawa wayahudi kiboko yao alikua Hitler tu..nafikiri hawatamsahau milele.....
Hivi kwa nn wayahudi katika historia yao ni watu wa kuwindwa tu....Hitler aliwachukia sana, Stalin hivyo hivyo, huko kwenye historia ya nyuma ni hivyo hivyo, majirani zao wa sasa ni hivyohivyo....Whats is wrong with these Jews??
They rejected Jesus their savour.... And they killed prophets, yet they came to kill their Messiah who came to save them. And they said His blood should be upon them and upon their generation.

He came to dwell among the. But they received Him not.

He came to his own, but his own receive him not.....

So the migh hand of God withdrew upon them. Their house is left desolate..
 
@antonioconte
tizama ramani vizuri,IDF wanaingia iran vipi kupitia lebanon?.

Huwezi ukaiweka saud arabia lever moja na iran,
saudia ana hela,vifaa lakini jeshi hana,
anapiganisha mamluki
 
And we think we've had it bad �

Read this speech from the prime minister of Israel..... Benjamin Netanyahu, with all Glory to God.

Mr. Nethanyahu said:
Only 70 years ago! The Jews were taken to the slaughter like sheep.

60 years ago! We had no country. No Army.

Seven Arab countries declared war on our small Jewish state, just a few hours after its creation!

We were only 650 Jews, against the rest of the Arab world! NO IDF (Israel Defense Army).
No powerful Air Force, only brave people with nowhere to go.

Lebanon, Syria, Iraq, Jordan, Egypt, Libya, Saudi Arabia all attacked us at the same time.

The country that the United Nations gave us was 65 % desert. The country was out of nowhere!

35 years ago! We fought the three most powerful armies in the middle east, and we swept them... yes... in six days.

We fought against various coalitions of Arab countries, which had the modern armies and many Soviet weapons, and we had always beaten them!

Today we have:
*A country*
*An army*
*A powerful air force*
*A State-of-the-Art economy which exports millions of dollars*
*Intel - Microsoft - IBM develops products at home*
*Our doctors receive awards for medical research*

We make the desert bloom, and sell oranges, flowers and vegetables all over the world.

Israel has sent its own satellites into space!
Three satellites at the same time!

We are proud to be at the same rank as: The United States, which has 250 million inhabitants,

Russia, which has 200 million inhabitants

China, which has 1.3 billion inhabitants

Europe - France, Great Britain, Germany - with 350 million inhabitants..

The only countries in the world to send objects into space! Israel is now part of the family of the nuclear powers, with the United States, Russia, China, India, France, and Great Britain.

We have never officially admitted it, (but everyone knows it) and say that only 60 years ago, we were led, ashamed and hopeless, to slaughter!

We have extirpés the smoking ruins of Europe, we have won our wars here with less than nothing. We built our little "Empire" from nothing.

Who's Hamas to scare me? To terrify me? You make me laugh!

Passover was celebrated; Let's not forget what this is about.

>We survived Pharaoh.
>We survived the Greeks.
>We survived the Romans.
>We survived the inquisition in Spain.
>We have the pogroms in Russia.
>We survived Hitler.
>We survived the Germans.
>We survived the Holocaust.
>We survived the armies of seven Arab countries.
>We survived Saddam.
>We will continue to survive the enemies present today too.

Think of any time in human history! Think about it, for us, the Jewish people, the situation has never been better! Then let's face the world.

Let us remember: All nations or cultures who once tried to destroy us, no longer exist today - while we still live!

Egypt?
The Greeks?
Alexander of Macedonia?
The Romans? (does anyone still speak Latin these days? )
The Third Reich?

And look at us,
>The Bible Nation.
>The slaves of Egypt.
>We are still here.

And we speak the same language! then, and now! Arabs don't know yet, but they will learn that there is a God ....as long as we keep our identity, we are forever.

So forgive us for not worrying.
>Not to cry.
>Not to be afraid.
>Things are fine here.
>They could certainly get better.

However: Don't believe the media, they don't tell you that parties continue to take place, people continue to live, people keep coming out, people continue to see friends.

Yes, our morale is low. So what? Only because we mourn our deaths, while others rejoice in the blood shed. That is why we will win, in the end.

He never sleeps or will ever sleep.... the guardian of Israel.... Yahweh God of Abraham, Isaac and Jacob.

Forward this speech to the whole community, and to people around the world. They are part of our strength.
Damn it!!!

Hii Speech ipo Youtube??
Kama kuna link naomba uipandishe apa boss nijione mwenyewe maana hii speech si ya kitoto
 
HUYU IRAN PUMBAFU KWELI, HV YEYE ANAWEZA KUPGANA NA USA KWELI? AMWULIZA SADAM WA 'KUWAIT' AU 'GHADAFI' WA IRAQ
 
Save israel child from hunger
Hunger inIsrael
One in FiveChildren inIsrael Go To Bed Without Having Had One Hot Meal A survey done by theIsraeli ministry of health askingchildren how many times they went to bedhungry found that one in fiveIsraeli children - 13.5% Jewishchildren ...
www.edu-negev.gov.il/bs/b4i/hunger-...
 
Natamani sana siku Irani imchokonoe Israel ione cha moto itakacho pata
[colour=purple] Sio Iran tuuu hata Russia, China na North Korea wakimgusa Israel lazima Dunia iaribike yote kabisa
 
Back
Top Bottom