Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,162
Reaction score
27,197
Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida.

Binafsi naona kama Iran ameamua kuwa muungwana kwa sababu jirani yako ni jirani yako tu najua majirani kwa sasa wamejifunza kitu.
20260307_122405.jpg
 
Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida.

Binafsi naona kama Iran ameamua kuwa muungwana kwa sababu jirani yako ni jirani yako tu najua majirani kwa sasa wamejifunza kitu. View attachment 3554108
Mkuu Dubai kapigwa airport masaa machache leoo huyu n mshenzi apigwee kama iddiaminu
 
Qatar wanaweka rada za marekani na ndege vita za kushambulia Iran ilikua ni lazima Iran adhibiti Hali hiyo.
Pamoja na hayo lakini angalau Qatar ndio Taifa la mashariki ya kati angalau lililobaki lililokuwa bado linasimama kwa kiasi fulani na Hamas na Iran. Pia fahamu Qatar imekubali US iweke majeshi yake hapo kwa ulinzi dhidi ya majirani zao UAE ambao wana uhasama nao.
 
Pamoja na hayo lakini angalau Qatar ndio Taifa la mashariki ya kati angalau lililobaki lililokuwa bado linasimama kwa kiasi fulani na Hamas na Iran.
Unasimamaje huku unaruhusu adui yangu atumie nchi yako kunishambulia?
 
Pamoja na hayo lakini angalau Qatar ndio Taifa la mashariki ya kati angalau lililobaki lililokuwa bado linasimama kwa kiasi fulani na Hamas na Iran. Pia fahamu Qatar imekubali US iweke majeshi yake hapo kwa ulinzi dhidi ya majirani zao UAE ambao wana uhasama nao.
Yeah!...Qatar na Oman angalau bado walikuwa wanasikilizana na Iran.

Naona Iran wamepiga hesabu wameona kushambulia majirani hakutawalipa, japo mambo yanaweza kubadilika na wakashambulia tena.
 
Itakuwa walipaniki wakaanza kuishambulia hovyo,
Ningekuwa mwanamikakati wao wa vita nisingeshambulia Qatar na Oman kabisa.
Mpuuzi wewe hujui kitu ,unafikiri kwa nini marekani anahangaika wapi pa kurushia ndege zake base zote alizotegemea zimeharibiwa hata zile meli running zake
 
Yeah!...Qatar na Oman angalau bado walikuwa wanasikilizana na Iran.

Naona Iran wamepiga hesabu wameona kushambulia majirani hakutawalipa, japo mambo yanaweza kubadilika na wakashambulia tena.
Sio wanaweza, wameshambulia, Iran hawezi kuacha kuwashambulia hao watu.
Hao Waarabu ni masnitch zaidi ya Yuda.
 
Back
Top Bottom