Iran Ataishambulia Israel leo

Iran Ataishambulia Israel leo

Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Dah pole sana ustaadh naona kisukari pressure, gesi tumboni, joto mwilini vipo juu sana, hebu ongea na mods basi wakubadilishie kichwa maana umechapia kwelikweli ati unasema

Iran Ataishambulia Iran leo 😀 😀

 
Ka
Iran ataishambulia Iran?

Itakuwa ni kiwewe cha mabomu ya Netanyahu…
😂😂😂😂Kapagawaa mkuu msame buree walisema israel hawezi rusha ata jiwe ndan ya iran wanashangaa israeli karusha furush la vyuma mlangon ka ayatolha
 
Iran ni weak sana,kila mara ikipigwa kombora lazima wafe officials kadhaa,hadi Kiongozi wa Hamas aliuawa huko huko,kwa kifupi inaonekana Israel imejipenyeza ipasavyo kwenye system za Iran,ndiyo maana wanapigika tu
 
Back
Top Bottom