Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,910
- 7,561
Tunamtaka KHUMANEI...Kwani Netanyahu yupo ndani ya Israel saa hii!?
Au kunya anye kuku tu?
Tunamtaka KHUMANEI...Kwani Netanyahu yupo ndani ya Israel saa hii!?
Au kunya anye kuku tu?
Achen visingizio, vita haina macho ww ua kiongozi yeyote hapo nijue uanaume wenu 😂Vikwazo ,Iran anaogopa vikwazo alivyonavyo vinatosha ...Akiuwa Kiongozi wa Israell atapigwa vikwazo .
Mbona wale mashujaa wa kobazi hawakujificha wakafa wakiwa kitandani kwao 😂Hao waoga sana, wameshakimbia si ndiyo walianza. Wamejificha, ila kaeni mkao wa kula, vita ndiyo imeanza kwa Iran.
Yupo Gaza ameenda kutafuta handaki ajifiche, kwa maana mashambulizi ya leo, sehemu salama ya kukaa ni Gaza na West Bank..Kwani Netanyahu yupo ndani ya Israel saa hii!?
Au kunya anye kuku tu?
Mbona mjengo yanameremeta, makombora gani hayo hayana nguvu jaman au mlisahau kuyachaji vzr? 😂Tel Aviv...View attachment 3367322
Mfumo upi mkuu? Watu wapo live hapa wanasema mifumo yote mitatu mikubwa ya Israel imeshindwa kuzuia makombora.
Hakuna cha THAAD, Iron dome wala Arrow 3 zote zimelemazwa vyuma vinaanguka na kulipuka kwenye target.
Mpaka sasa iran kapiga comand center ngapi hapo tel aviv?Huyo ndo Iran sasa
Fattahs zingine zimetumwa kwenda kwa US bases in Kuwait, ziko njiani
God Bless Iran
Dah jiji zuri sana hili, pamoja na yote hayo bado mtu unashawishika kwenda vacation hapo 😂Hali ilivyo Tel Aviv...View attachment 3367289
Mmemkamata pilot Bila ndege 🔥Iran wamemkamata Pilot wa kike wa Israel, huyu ataeleza yote namuonea huruma huyo mrembo.
FakeIran wamemkamata Pilot wa kike wa Israel, huyu ataeleza yote namuonea huruma huyo mrembo.
Nakueleza dogo ,Iran atapata vikwazo na analijua hilo ..Achen visingizio, vita haina macho ww ua kiongozi yeyote hapo nijue uanaume wenu 😂