Iramba ni nyumbani kwa Mawaziri watatu lakini inazidi kudorora!

Kilimanjaro zipo ingawa ni kwa uchache - nenda maeneo ya kule Chekereni na kwa mbele yake hata kuja huku Same mpaka Hedaru zipo nyingi tu za kumwaga. Manyara hata usiseme - manake hamna tofauti na Singida. Arusha nenda Longido na Simanjiro zipo za kumwaga tu. Usitufanye sisi hatuifahamu Tanzania.
Mkuu umechemsha zile ni nyumba za miti na siyo tembe(miti na nyasi), kwa hiyo hali ya maisha ya Singida na Manyara, Arusha na Kilimanjaro zinalingana mkuu?
 
Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo.

Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea kujiamini na kujijenga katika siasa za Kitaifa kwa sababu Jimboni hana tena mpinzani.

Wabunge wa kweli Iramba hawataki siasa wapo kimya - sio kuwa wana hofu lakini pia wamevaa utashi wa dhati ya mioyo yao. Hawataki mgawanyiko.

Sasa hawa wabunge ambao wote ni Mawaziri kuna maendeleo yeyote wanaweza kujivunia kuiletea Iramba? Prof. atasema ooooohhhh yeye ni wa Ubungo lakini tunajua moyo wake upo Iramba ila kiwiliwili ndiyo kipo Ubungo. Hakika imeshapita miezi saba sasa tangu hawa watu waingine uongozini lakini hamna chochote ambacho angalau kinaonesha nia njema waliyonayo kwa Iramba.

Dkt Mwigulu anataka ifike 2023 ndiyo aanza kuchacharika kuwahadaa wananchi. Prof. Kitila vipi mbona wakati hujawa Waziri Jimbo la Iramba ndiyo ilikuwa mahali pako pa kutalii?

Imekuwaje tangu upate ubunge wa kupachikwa na Mwendazake Ubungo na Uwaziri huo huku Iramba umepashit kabisa! Tukueleweje? Au ndiyo ulitaka tu kututumia kama ngazi? Hauna tofauti na Dkt Mwigulu!

Dr. Dorothy Gwajima nina uhakika ukipunguza mbwembwe kidogo tu 2025 unachukua hili Jimbo. Ninakufahamu vizuri na wewe ninajua unanifahamu vema ukisoma tu hapa utajua ni nani kaandika. Njoo mwka 2025 Iramba inakuhitaji - ili ufanikiwe anza mapema - kama ambavyo uliibadili Hospitali ya Wilaya yetu ikawa ya viwango wakati upo kama incharge hapa nina uhakika wewe una cha kujivunia Iramba kuliko hata Dkt. Mwigulu. Anza sasa - weka mipango murua na ufanyie kazi ili Jimbo hili liwe lako mwaka 2025 tuachane na hao wenzio wenye ndoto za URais kila kukicha.

Ninawashauri wote - kama mtaendelea kuwa kimya bila kuiongelea Iramba hakika mkianza mwaka 2023 tutajua fika mnaanza kujipendekeza ili mkubalike 2025. Sisi tunataka muanze sasa, mgombane sasa kwa kuoneana wivu huyu kaahidi hiki, yule kaahidi kile, huyu kaleta kile, yule kawaleta wadau wa maendeleo wale.

Anzeni kugombania nafasi mapema ili jimbo letu lichangamke! Acheni kuogopana nyie Wanyiramba!
Hilo jimbo ni Mali ya Mwigulu labda km atapitishwa kwny uraisi ndo ataweza kumuachia Gwajima
 
Mkuu umechemsha zile ni nyumba za miti na siyo tembe(miti na nyasi), kwa hiyo hali ya maisha ya Singida na Manyara, Arusha na Kilimanjaro zinalingana mkuu?
Iramba hakuna nyumba za miti na nyasi ,Kuna za tofali na bati,na chache tofali na udongo(tembe) na zinspotea kwa Kasi na chache zitabaki kwa ajili ya kumbukumbu tu!
 
Charity begins at home bhana! Mhhh ila wa Chato alizidi - akataka hadi iwe Mkoa!? Sisi tunataka tu aongeze idadi ya punda!
Charity begins at home, YES but not in the way you understand...

You can't take someone's property and use it at your home then you start shouting crazily "hey! people, listen, charity begins at home and I have done it...!!"

That couldn't be charity. That is vandalism/selfishness/meanness and you deserve to be punished according to the law of the land...

You have to be equipped with the correct concept of the statement "charity begins at home"
 
Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo.

Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea kujiamini na kujijenga katika siasa za Kitaifa kwa sababu Jimboni hana tena mpinzani.

Wabunge wa kweli Iramba hawataki siasa wapo kimya - sio kuwa wana hofu lakini pia wamevaa utashi wa dhati ya mioyo yao. Hawataki mgawanyiko.

Sasa hawa wabunge ambao wote ni Mawaziri kuna maendeleo yeyote wanaweza kujivunia kuiletea Iramba? Prof. atasema ooooohhhh yeye ni wa Ubungo lakini tunajua moyo wake upo Iramba ila kiwiliwili ndiyo kipo Ubungo. Hakika imeshapita miezi saba sasa tangu hawa watu waingine uongozini lakini hamna chochote ambacho angalau kinaonesha nia njema waliyonayo kwa Iramba.

Dkt Mwigulu anataka ifike 2023 ndiyo aanza kuchacharika kuwahadaa wananchi. Prof. Kitila vipi mbona wakati hujawa Waziri Jimbo la Iramba ndiyo ilikuwa mahali pako pa kutalii?

Imekuwaje tangu upate ubunge wa kupachikwa na Mwendazake Ubungo na Uwaziri huo huku Iramba umepashit kabisa! Tukueleweje? Au ndiyo ulitaka tu kututumia kama ngazi? Hauna tofauti na Dkt Mwigulu!

Dr. Dorothy Gwajima nina uhakika ukipunguza mbwembwe kidogo tu 2025 unachukua hili Jimbo. Ninakufahamu vizuri na wewe ninajua unanifahamu vema ukisoma tu hapa utajua ni nani kaandika. Njoo mwka 2025 Iramba inakuhitaji - ili ufanikiwe anza mapema - kama ambavyo uliibadili Hospitali ya Wilaya yetu ikawa ya viwango wakati upo kama incharge hapa nina uhakika wewe una cha kujivunia Iramba kuliko hata Dkt. Mwigulu. Anza sasa - weka mipango murua na ufanyie kazi ili Jimbo hili liwe lako mwaka 2025 tuachane na hao wenzio wenye ndoto za URais kila kukicha.

Ninawashauri wote - kama mtaendelea kuwa kimya bila kuiongelea Iramba hakika mkianza mwaka 2023 tutajua fika mnaanza kujipendekeza ili mkubalike 2025. Sisi tunataka muanze sasa, mgombane sasa kwa kuoneana wivu huyu kaahidi hiki, yule kaahidi kile, huyu kaleta kile, yule kawaleta wadau wa maendeleo wale.

Anzeni kugombania nafasi mapema ili jimbo letu lichangamke! Acheni kuogopana nyie Wanyiramba!
Kwa maneno mengine unataka mawaziri wapendelee nyumbani kwao.
Kuhusu Mkumbo ni kweli hakushinda Ubungo, lakini ni nani aliyeshinda kwa wana CCM?
 
Uchawi na ushirikina ndo chanzo cha umaskini, Hawa watu wote wa Itamba wanasema wameokoka na ni watumishi!

Halafu hawa watu wengi wa Iramba ni wachawi mtindo mmoja, yani haya mambo haya, hata hao mawaziri wakae tu! Wanaweza hata loga maendeleo watu wa Iramba
 
Waliokuwa wanawachelewesha sasa hawapo, lakini naona ndio tunarudi nyuma maradufu ,wamekalia kupiga hesabu za namna ya kikwapua mali ya umma tu
 
Uchawi na ushirikina ndo chanzo cha umaskini, Hawa watu wote wa Itamba wanasema wameokoka na ni watumishi!

Halafu hawa watu wengi wa Iramba ni wachawi mtindo mmoja, yani haya mambo haya, hata hao mawaziri wakae tu! Wanaweza hata loga maendeleo watu wa Iramba
Mhhh mkuuu Kulogwa na Mnyiramba mmoja tu unajumuisha ...siku hizi Kila Kabila na Taifa linaweza kufanya huo utamaduni,...hel yako tu!
 
Hawa Ndio kwanza wamepewa vyeo na ni lazima bosi wao wamridhishe ili wawe sehemu ya anaowaamini.

Sidhani kama kwa sasa wanawazia majimbo, wana ilani ya kurasa 303 inawategemea wao. Huyo Mkumbo ndio mtafsiri halisi wa Tanzania ya viwanda.

Gwajima anapigwa vijembe kwamba haiwezi wizara akili yake ipo kazini. Mwigulu anajikita katika kuununua upendo wa Mzee JK na Rais sidhani kama anawazia jimbo kwa sasa.
Umenena kweli kabisa!
 
Back
Top Bottom