ipp media

Intel Integrated Performance Primitives (Intel IPP) is a multi-threaded software library of functions for multimedia and data processing applications, produced by Intel.The library supports Intel and compatible processors and is available for Linux, macOS, Windows and Android operating systems. It is available separately or as a part of Intel oneAPI Base Toolkit.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Kama Jackline Ntuyabalile angeachiwa IPP Media, ingekuwa imeshakufa, anajipost muda wote yuko Dubai kumbi za starehe

    Kweli mahakama inaona mbali, kama wangekubali huyu dada awe msimamizi wa mirathi na amiliki IPP Media, angekuwa ameshaimaliza. Muda wote yuko mahotelini Dubai, kwa asiyemjua anaweza kudhani anafanya kazi ya uhudumu hotelini. Haijulikani anakaa na watoto wake saa ngapi.
  2. Mr Why

    IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

    Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana...
  3. Mtu Asiyejulikana

    IPP Media acheni Ubaguzi wenu kwa Jamii nyingine. Mlichoandika hapa ni ukaburu

    Ukiangalia hii taarifa unajiuliza kutaja asili ya kihindi lengo lake lilikuwa ni nini? si walishasema Mtanzania? Je, kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga...
  4. M

    The Guardian ya IPP Media imenunuliwa na China?

    Nikiangalia leo tovuti ya The Guardian hapa THE GUARDIAN | IPPMEDIA ninakuta vichvya vya habari vifuatavyo kwenye ukurasa mmoja : CPC's-great-practice-offers-inspirations-says-turkish-party-leader" CPC’s 100-year history is a heroic legend: Turkey’s Patriotic Party...
Back
Top Bottom