IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

Na kama zingesifiwa izo picha usingekanusha kama umechukua kwa tecno
Watumiaji wa tecno wanaonewa sana boss picha hiyo nimechukua na one plus 2 then nikasema nimetumia tecno ili nione watasemaje?
Jibu limetoka kwamba ni picha yakawaida wakati kuna watu walidai humu one plus 2 inatumia camera Kali za Sony

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P20 pro ndo kinara
Na alichomzidi nokia 808 ni picha za usiku . Za nokia zilitoka bila mwanga wa kutosha ukilinganisha na za p20 pro.

Hzo zingne nasikia tu kuwa google pixel 2, lg g7, galaxy s9 plus huku wakifatia wazee wa matunda wakina iphone xr xs na x...
 
Mwl.RCT hii Huawei p20 pro nikiagiza shilingi ngapi mpaka inifikie?
Samahani sijatumia ule uzi wako wa kuagiza bidhaa
 
Huawei p20 pro
HuaWei P20 Pro 4G LTE

6GB / 256GB = TZS 2,467,200

6GB / 128GB = TZS 1,951,200

6GB / 64GB = TZS 1,764,000
1547651175642.png
 
Back
Top Bottom