IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

Mie kwenye manunuzi siangalii ubora wa kamera bali naangalia ubora wa simu kuanzia processor , cpu ..
 
Watumiaji wa tecno wanaonewa sana boss picha hiyo nimechukua na one plus 2 then nikasema nimetumia tecno ili nione watasemaje?
Jibu limetoka kwamba ni picha yakawaida wakati kuna watu walidai humu one plus 2 inatumia camera Kali za Sony
But kuna oneplus pro 8
 
Hapo ndio huwa nachoka, hivi ili picha iwe nzuri inatakiwa itoke na muonekano upi, coz kila siku tunaambiwa hii ndio inatoa picha bora ina maana bado hatujafikia ktk quality ya asilimia mia? Tuko asilimia ngapi kwa sasa?
Yaan inatakiwa Kama ni mweusi use brown na hatoee Kama mwarabu hivi,na hata usifanane na ulivyo
 
Makampuni ya simu yanashindana kwa kubuni camera zenye uwezo mkubwa kila siku, lakini wakati mwingine kila simu ina uzuri na ubaya kwa namna yake,
Kwa wajuzi wabobezi wa mambo ya simu, mje na majibu ni simu ipi kwa sasa sokoni inaongiza kwa camera kali za mbele na nyuma, angalau 3 za juu.
Samahani Mimi nimekuww mpenzi na Samsung zenye homebutton sana sana samsungc9pro naona specification zake nzuri lakin pia napenda feature ya dark mode iyo simu Haina je kuna Samsung Ina homebutton na ni latest version yenye features Kama za recent phone au inayo upgraded mpaka 10 CHIEF MKWAWA
 
Back
Top Bottom