IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

Eti kaka, nikitaka kuagiza TECNO CAMON 11 Pro kupitia kwako/nje whatever itani cost shingapi??
Je kwa ushauri wako ni bora nichukue hapa bongo kuliko kuagiza???
Huko hamna Techno,techno mwisho kariakoo au tafuta mtu anayeenda Nairobi akuletee hahah.
 
Mi sio mshabiki wa huawei ila P20 Pro haina mpambe kabisa!
Hiyo ni kwa mwaka jana, mwaka huu makampuni yamesha launch simu zenye kamera kali. i.e: Samsung galaxy S10, Mi 9, etc. Tunasubiri tuone flagship za Huawei.
51585962_434458287291719_1629390417722148303_n.jpeg
jaqP8dR4.jpeg
D0MmgsmWoAEOhdI.jpeg
D0GNnk3XcAAp_Sf.jpeg
 

Attachments

  • D0MmgsmWoAEOhdI.jpeg
    D0MmgsmWoAEOhdI.jpeg
    32.9 KB · Views: 32
Kwa Camera still P20 pro anakimbiza kwa lifelike images, nmeangalia comparison against s10+
Hatimae MTEMI NA NGULU wa CAMERA kali amerudi tena na si mwingine bali ni NOKIA 9 PUREVIEW yenye 5 penta-lenes camera huku ikiwa ni simu ya kwanza duniani inayokusanya image kwenye camera moja.....kwa upande wa low light inakusanya mwanga mara 10 zaidi ya simu nyingine duniani
Nokia-9-PureView-leak-by-Evleaks.jpg
 
Boss hivi k5 pro kaipita note 6 pro kwenye nyanja gani japo naona k5 pro ina muonekano wa kizamani.

Hizi model zinafanana karibu kila kitu.

K5 Pro kaweka battery kubwa zaidi 4050mAh, ameweka USB 2.0 Type-C 1.0 reversible connector so ina support 18W fast charger, pia wameweka stereo speaker.

Kwa upande wa Redmi Note 6 Pro ipo vizuri kwenye software, hapa simu inakuwa optimized kwenye kila idara, i.e camera, battery life, etc. Pia kama kuna baadhi ya matatizo wapo fasta kufix bugs kwa software update pia wametumia Corning Gorilla glass kuikinga screen, si hivyo tu. Note 6 Pro accessories & parts zinapatkana kiurahisi kuliko K5 Pro.
Mwisho design ya Note 6 Pro ipo classic zaidi (ergonomic design) ina screen 6.3" lakini inashikika mkononi kiurahisi bila shida.
 
Tafuta simu inaitwa OPPO ya muhindi hii iko vzr sana
Makampuni ya simu yanashindana kwa kubuni camera zenye uwezo mkubwa kila siku, lakini wakati mwingine kila simu ina uzuri na ubaya kwa namna yake,
Kwa wajuzi wabobezi wa mambo ya simu, mje na majibu ni simu ipi kwa sasa sokoni inaongiza kwa camera kali za mbele na nyuma, angalau 3 za juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwani makampuni yanashindana kutengeneza cm zwenye camera kubwa nini maana yake
 
Back
Top Bottom