King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Sema ukitaka simu iko fasta kwa upande wa Android asee chukua mnyama One Plus 6.
Lg G7 thinQ imeingia bongo tayari naitafutaSamsung Galaxy S9 Plus
iPhone X
LG G7 ThinQ
Wenzio wapo serious we unaleta utani kwani hiyo nayo ni simuTecno camon CA7
Hii nayo ndo kampuni gan tena ya cm inauzwajeSema ukitaka simu iko fasta kwa upande wa Android asee chukua mnyama One Plus 6.
Hayo sio mimi nasema ni wao haohao wanaotengeneza hizo simuMegapixels sio kila kitu kwenye kamera ya simu mkuu. Leo hii tunaangalia ubunifu/teknolojia iliyotumika kwenye camera unit nzima.
Mfano kama P20 Pro ilivyo'intergrate AI kwenye photo processing na kutumia Leica tech.
Hii nayo ndo kampuni gan tena ya cm inauzwaje
Haaa haaaa ni shidaTecno camon CA7
Nashukuru umeuliza. One Plus 6 ni smartphone iliyotengenezwa na Kampuni ya One Plus toka China. Kama kampuni ilizinduliwa mwaka 2013.Hii nayo ndo kampuni gan tena ya cm inauzwaje


Kwa jinsi teknolojia inavyozidi kukua hakuna kipimo cha mwisho wa uvumbuzi kwa kila kitu kitachoguswa na teknolojia.Hapo ndio huwa nachoka, hivi ili picha iwe nzuri inatakiwa itoke na muonekano upi, coz kila siku tunaambiwa hii ndio inatoa picha bora ina maana bado hatujafikia ktk quality ya asilimia mia? Tuko asilimia ngapi kwa sasa?
Hahaha mkuu hii ni "concept" tu. Sidhani kama iko kwenye production au hata kuwepo sokoni.
Hahaha mkuu hii ni "concept" tu. Sidhani kama iko kwenye production au hata kuwepo sokoni.
7000 Mah asee itakuwa na powerbank hapo ndani. Na sio kwa form factor hiyo.


!....Leo nimemfunika hadi Chief-Mkwawa kwa kutaja simu kali!Hahaha!....Leo nimemfunika hadi Chief-Mkwawa kwa kutaja simu kali!

Unaagiza nje ya nchiLg G7 thinQ imeingia bongo tayari naitafuta
Kwenye camera hata Pixel 2 haisemi kitu kwa Pro. Ingawa nayo inatoa picha kali utadhani DSLR.Google pixel 2xl
I phone x
P 20 pro