cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,052
- 10,047
Naikubali sana iyo simu,hii picha imepigwa 2012 na nokia 808 halafu ni usiku ilikuwa na flash yenye nguvu sanaHapana sijawahi kimbia mjadala humu hata siku moja, na hizo picha mbona ni za kawaida sana? Ukizoom kidogo ni blur?
Nipo busy kidogo ila ningepiga picha hapo hapo kama ulivyopiga wewe nikakuwekea na Nokia 808 uone utofauti. Tena simu ya 2012. Best camera phone to date.
Xenon flash hioNaikubali sana iyo simu,hii picha imepigwa 2012 na nokia 808 halafu ni usiku ilikuwa na flash yenye nguvu sanaView attachment 998926
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief kwa mwaka Huu hio simu yapatikana huku tz na kwa pesa kiasi gani kuipataXenon flash hio
Simu ya 2012 hio, ngumu kuipata mpya na mkononi pia adimu. Yangu nilinunia 70k tu kupatana kwa mtu. Ukiangalia angalia website na magroup ya matangazo unaweza ukaipata sema subira itahitajika.Chief kwa mwaka Huu hio simu yapatikana huku tz na kwa pesa kiasi gani kuipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mzee si uuze tu!!!Simu ya 2012 hio, ngumu kuipata mpya na mkononi pia adimu. Yangu nilinunia 70k tu kupatana kwa mtu. Ukiangalia angalia website na magroup ya matangazo unaweza ukaipata sema subira itahitajika.
Hapana ukumbusho huo.
Hyo flash haijawahi tumika tena kwenye device nyngne?Hapana ukumbusho huo.
Ipo kwenye lumia 1020, 928, samsung s4 zoom, galaxy k zoom, kuna sony za zamani na baadhi ya nokia za symbian pia zilikuwa nayo.
Nadhani hii itakuwa list nzimaIpo kwenye lumia 1020, 928, samsung s4 zoom, galaxy k zoom, kuna sony za zamani na baadhi ya nokia za symbian pia zilikuwa nayo.
Pia hii xenon ndio hutumika kwenye maharusi na proffesional photographer wanapopiga picha
Imemiss simu za miaka ya karibuni siioni 1020 na k zoomNadhani hii itakuwa list nzima
Cell Phones with Xenon Camera Flash
Sent using Jamii Forums mobile app
List labda ilitolewa miaka ile.Imemiss simu za miaka ya karibuni siioni 1020 na k zoom
6GB 128GB = TZS 837,600
6GB 64GB = TZS 760,800
64GB = TZS 1,554,384
Iangalie pia
Xiaomi Redmi Note 7
Dual - 48MP, f/1.8, 1/2", 0.8µm, PDAF, 5 MP, f/2.4, depth sensor
Hii imeingia sokoni wiki hii.
Acha kumuingizia mabajeti ya simu mumeo ingia dukani chomoa itelWe kaka nijibu jaman, nina haraka nimpe majibu mazuri mume wangu.



Achana na Tecno. Mwambie akuagizie Redmi Note 6 Pro, hakika hautojutia pesa yakoWe kaka nijibu jaman, nina haraka nimpe majibu mazuri mume wangu.