Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,204
- 7,649
Haulizi tena swali akiona hili jibu...ni mwendo wa kucheza na hela za kununua Viwanja tu!Samsung Galaxy S9 Plus
iPhone X
LG G7 ThinQ
Haulizi tena swali akiona hili jibu...ni mwendo wa kucheza na hela za kununua Viwanja tu!Samsung Galaxy S9 Plus
iPhone X
LG G7 ThinQ
Naona nilivyoitaja tu tecno watu wamekula Kona hata Chief-Mkwawa kajificha nyuma ya keyboard kuuhofia mziki wa Tecno walidhani Ni Pic za Samsung


mwehNaona nilivyoitaja tu tecno watu wamekula Kona hata Chief-Mkwawa kajificha nyuma ya keyboard kuuhofia mziki wa Tecno walidhani Ni Pic za Samsung
Makampuni ya simu yanashindana kwa kubuni camera zenye uwezo mkubwa kila siku, lakini wakati mwingine kila simu ina uzuri na ubaya kwa namna yake,
Kwa wajuzi wabobezi wa mambo ya simu, mje na majibu ni simu ipi kwa sasa sokoni inaongiza kwa camera kali za mbele na nyuma, angalau 3 za juu.
JF kila mtu anajifanya ana simu Kali Sasa ukute kumbe unaingia JF na kitecno Y2 au Huawei Y360
Ningesema ni picha Toka Samsung ungeona hapa wamejitokeza kuzisifia but nilivyoitaja tecno Kimya afu mpuuzi mmoja anadai eti tecno siyo simumweh
Ningesema ni picha Toka Samsung ungeona hapa wamejitokeza kuzisifia but nilivyoitaja tecno Kimya afu mpuuzi mmoja anadai eti tecno siyo simu
Hapana sijawahi kimbia mjadala humu hata siku moja, na hizo picha mbona ni za kawaida sana? Ukizoom kidogo ni blur?Naona nilivyoitaja tu tecno watu wamekula Kona hata Chief-Mkwawa kajificha nyuma ya keyboard kuuhofia mziki wa Tecno walidhani Ni Pic za Samsung
Kumbe za kawaida Isee!!Hapana sijawahi kimbia mjadala humu hata siku moja, na hizo picha mbona ni za kawaida sana? Ukizoom kidogo ni blur?
Nipo busy kidogo ila ningepiga picha hapo hapo kama ulivyopiga wewe nikakuwekea na Nokia 808 uone utofauti. Tena simu ya 2012. Best camera phone to date.
Hahaha we jamaa unanichekesha unavokomaaKumbe za kawaida Isee!!
Kwa taarifa yako Hizo picha nimezichukua na one plus 2 ambayo mnaisifiaga ni Bora Kuliko tecno
Watumiaji wa tecno wanaonewa sana boss picha hiyo nimechukua na one plus 2 then nikasema nimetumia tecno ili nione watasemaje?Hahaha we jamaa unanichekesha unavokomaa
1: Google Pixel 3Makampuni ya simu yanashindana kwa kubuni camera zenye uwezo mkubwa kila siku, lakini wakati mwingine kila simu ina uzuri na ubaya kwa namna yake,
Kwa wajuzi wabobezi wa mambo ya simu, mje na majibu ni simu ipi kwa sasa sokoni inaongiza kwa camera kali za mbele na nyuma, angalau 3 za juu.