Ipi ni zawadi nzuri kwa Graduate?

Ipi ni zawadi nzuri kwa Graduate?

Kama atakuwa na nia hiyo ana full sponsorship kutoka ofisi anayofanyia kazi. Huyu sio fresh from college.

Kwa wale walionishauri nimpe Vitz huyu binti ana mkoko wake aina ya Verosa.

Ila naendelea kukusanya maoni kabla sijafanya conclusion.

basi huyo haitaji chochote! lol.
 
who is she kwanza?...kumbe matola una roho nzuri hivi...hata mimi nagraduate bwana ngoja nikupm taREHE
 
Kama atakuwa na nia hiyo ana full sponsorship kutoka ofisi anayofanyia kazi. Huyu sio fresh from college.

Kwa wale walionishauri nimpe Vitz huyu binti ana mkoko wake aina ya Verosa.

Ila naendelea kukusanya maoni kabla sijafanya conclusion.

kwa nini usimpe zawadi ya viatu au handbag au perfume(Chance by Chanel imetulia).......kama pesa si ya mawazo.......tafuta designer ones......kwa kweli binafsi.......nikipewa zawadi kama hii huwa nawehuka.........
 
Matola.. Unaposema not expensive and not cheap ni relative term. Inaweza kwako wewe cheap ni 1M. So ngumu sana kushauri exactly nini ununue.

Kama kweli una niya ya kumnunulia kitu afurahi na kukitumia kweli, kwa insight uliyotupa hapa (ni mtu mzima na tayari ni mtu wa kujiweza - refer to usafiri wake); kama una dada wa karibu unamfahamu ana good taste akusaidie kuchagua a good handbag ya kisasa but iwe leather, hii itakugharimu kati ya 60 - 120 thou.

Option ya pili inaweza kuwa saa nzuri ya kike, zenye leather belts or silver or black silver ni nzuri zaidi kuliko gold. Saa walau zile zinazo range 120 - 160 thou.

Option ya tatu, tegemeana na circumstances anazo ishi, unaweza mnunulia a go and return ticket flight ya kwenda mahala kupumzika for a day or two tegemeana na uwezo wako wa destination ambayo unaweza mlipia na kama unaweza mgharamia upo anapo enda.

Kama unamfahamu kwa karibu na unajua simu yake (like kakaa nayo kwa muda gani na ni aina ipi) pia waweza mnunulia simu ataweza kupenda. Obviously upande wa simu kwa dada huyo maybe ya gharama from laki tano onwards ndiyo anaweza kuwa impressed.
 
Last edited by a moderator:

Wapendwa nimewasoma vizuri na hii simaanishi kwamba sijathamini michango ya Members waliotangulia, ila hapa nimeshajiridhisha nimepata zawadi muhafaka ya kumpa.

Kwa sababu zawadi ni surprise itatoka kwenye mapendekezo ya Preta na AshaDii sitadisclose ni ipi. Ila wazo la AshaDii definitely granted December nimeshapanga vacation nje ya nchi na my love na huyu binti atakuwepo akipenda awepo na ampendaye no problems kwa bill yangu.
 
Huja disclose but bora iwe handbag tu... Lol. Sikumsoma hapo Preta hadi ulivyo tu quote pamoja, hivi tumegongana mawazo ni kura ya kutosha kabisa. :smile:
 
Ulishaweka angalizo,nilitaka kukwambia upeleke pete! Zawadi zinadependi na chuo alichosoma na coz pia!
UD na viunga vyake peleka ufunguo wa virtz!
ARDHI kama amesoma usanifu majengo mpelekee miwani ya kusomea!
UDOM peleka tu ua hawanaga makuu!
Tumaini,Makumira,TEKU,SAUT,MUM na matawi yao biblia/Quran ama rozari!
Muhimbili,Bugando,KCMC,IMTU,Kairuki unaweza kumzawadia 'miwani ya kidaktari' hata kama kasoma ufamasia!

Duh zawadi zingine hizi zinaweza geuka kua 'ADHABU'
 
kwa nini usimpe zawadi ya viatu au handbag au perfume(Chance by Chanel imetulia).......kama pesa si ya mawazo.......tafuta designer ones......kwa kweli binafsi.......nikipewa zawadi kama hii huwa nawehuka.........
Najua jamaa alitaka nielewe unapenda zawdi gani basi ntakufanya uwehuke worry out!

Mtafutie saa, bracelet au mkufu wa ukweeeee, km unajua namba yake ya kiatu mtafutie high heel moja matata, hope atafurahi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Real nimejifunza kitu kumbe zawadi zinazohitajika nazimudu alafu nikialikwa nakula kona?

mabinti wanapenda midoli.
Sure kaka usiipuze hii huwa naombwa sana aina hii iliopendekezwa na marafiki zangu kuwanunulia!
Mpe saa nzuri za kidada zaidi sio zile za pale mwenge zimemwaga buluu baada ya siku 2 zimepauka...

Silver or Gold bracelet

Perfume
saa naona imebeba sehemu kubwa naona niwekeze huko nami kulinda heshima ya kumbukumbu kwenye mind za wadada duh!!
Unaweza kumnunulia saa nzuri tu ya kike, au mkufu mzuri wa silver au gold, ukishindwa sana nunua kadi, ndani ya kadi weka pesa ambayo anagalau ataenda kutafuta kitu chochote yi!eye imwenyewe
Tumegundua mnapenda saa maana mmependekeza wengi nimewasikia ntajitahidi kuwaletea kama zawadi naona kila anayenialika ategemee saa kama ni binti!
saa tu! basi nimpongeze jamaa kwa uzi huu nimegundu nini wengi mnapenda!

Pamoja na zawadi nilizoandika hapo juu, kama binti ni mkristo, mnunulie na Biblia ndogo nzuri sana toleo jipya zimekaa kama pochi hivi, nadhani hiyo Biblia ndo zawadi kubwa kuliko zote itamhamaisha kumkumbuka Mungu kila wakati
kumbe hii itakuwa convicing power ya yeye kumrejea muumba wake! kesho nampelekea maana naona siku hizi kanisani tatizo kidogo!

Duh zawadi zingine hizi zinaweza geuka kua 'ADHABU'

Umeona?
 
Huja disclose but bora iwe handbag tu... Lol. Sikumsoma hapo Preta hadi ulivyo tu quote pamoja, hivi tumegongana mawazo ni kura ya kutosha kabisa. :smile:

Asante sister nimekusoma vyema na naheshimu sana reputation yako hapa JF, simaanishi siwaheshimu wengine reputation zao, naomba unipm aina ya handbag na maduka ambayo naweza pata hii kitu kwa Dar, ila isiwe kariakoo huwa siendagi maeneo hayo hata iwe vipi.

Nina uwezo wa ku afford hiyo kitu in any shop in our shopping mall in Dar.
 
who is she kwanza?...kumbe matola una roho nzuri hivi...hata mimi nagraduate bwana ngoja nikupm taREHE

Karibu ila be serious, huwa nikiingia jukwaa hili nakuwa really mimi mwenyewe hasa.

JF ni Familia kubwa tuko pamoja usisite kwa lolote kuwasiliana nami in Private. Wengine wanadhani hapa ni sehemu ya kutongozana wanakosea sana.
 
Really! ! Lets say leo Billgates amekualika kwenye party yake ni kweli hutompa zawadi yoyote kisa yeye ni Billionaire? Come on my dear.

zawadi kitu gani bana!!! kwanza bora usitoe kabisa kuliko kutoa kitu kisichoeleweka! kwaheri.
 
who is she kwanza?...kumbe matola una roho nzuri hivi...hata mimi nagraduate bwana ngoja nikupm taREHE

hhhhhaaaa!! wanaume wa humu wakarimu kweli. unakumbuka yule wa juzi aliyekuwa anamtaftia simu rafiki yake? lol... namaliza form four kesho kutwa jamani naomba mnikumbuke zawadi.
 
Pamoja na zawadi nilizoandika hapo juu, kama binti ni mkristo, mnunulie na Biblia ndogo nzuri sana toleo jipya zimekaa kama pochi hivi, nadhani hiyo Biblia ndo zawadi kubwa kuliko zote itamhamaisha kumkumbuka Mungu kila wakati

mchumba wangu kanipa hii everyday namkunbuka
 
  • Thanks
Reactions: ram
hhhhhaaaa!! wanaume wa humu wakarimu kweli. unakumbuka yule wa juzi aliyekuwa anamtaftia simu rafiki yake? lol... namaliza form four kesho kutwa jamani naomba mnikumbuke zawadi.

Mpendwa watu kama mimi ukiniona nimeingia jukwaa hili get to know am not a joker.

Just let us know event yako mbona tuko pamoja sana humu!
 
asee mi nina graduation moshi apo mwezi wa 11 zawadi sitaitaji ntaitaji kampani tu kama u tayari ni pm,samahani kwa kuingilia thread bwana matola.
 
Nitakuwa nje ya nchi, otherwise naipenda sana Moshi I wish I could be there.
 
Wana MMU huku nina hakika ndio kuna watu wa kisasa zaidi.

Nilitaka kujuwa ni zawadi gani not expensive not cheap ya kumzawadia binti ambaye amepiga nondo yake na kuwa awarded degree? Hapa I mean siku ya graduation party.

Maana unaweza ukawa na minoti na usijuwe hawa vijana siku hizi wanapenda nini zaidi.

Angalizo: Huyu siyo mpenzi wangu.

Cc; Mtambuzi Asprin Smile Kongosho Preta AshaDii

Linapokuja swala la zawadi gani umpe mtu kulingana na thamani yake kwako ni mtihani. Nakukumbusha usijikune usikofikisha mikono. Mfano, Hayati Brenda Fasi alimzawadia Mzee Nelson Mandela Ndizi mbivu moja siku alipotimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa. Tathimin thamani toa maamuzi.
 
Mzungu ukimpa zawadi ya kinyago cha mpingo atakuthamini sana, lakini mimi ukinipa zawadi hiyo kwakweli ni sawa na sifuri kabisa. Nadhani utakuwa umeelewa sasa mantiki ya thread hii.
 
Back
Top Bottom