JF inapoteza mwelekeo, sikuwa najuwa kwamba ajira siku hizi ni gift.
Please I need maturity kwenye thread hii.
wewe umetaka ushauri, chagua ushauri unaotaka sio kuwa mbogo, kama ulikuwa unataka ushauri wa aina fulani ungeweka angalizo. Wewe vipi bana?

