PLL
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 882
- 400
Mhhh hatareeeAsante sister nimekusoma vyema na naheshimu sana reputation yako hapa JF, simaanishi siwaheshimu wengine reputation zao, naomba unipm aina ya handbag na maduka ambayo naweza pata hii kitu kwa Dar, ila isiwe kariakoo huwa siendagi maeneo hayo hata iwe vipi.
Nina uwezo wa ku afford hiyo kitu in any shop in our shopping mall in Dar.