Zawadi yangu kwenu on Valentines day...

Zawadi yangu kwenu on Valentines day...

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,110
Siku ya wapendanao ni siku muhimu kwa kila mwenye mapenzi mema. Ni siku ya ku refresh your brain and mind, i mean kujitafakari km kweli unampenda? km kweli unamjali na kumlinda? It is day to make up if there is any broken hearts. It is the day to give smile to each other.

Hii si kwa wapendanao tu, i mean couples, ni kwa familia pia, ni siku ya kujikumbusha majukumu yetu kwa familia zetu, je umewajibika ipasavyo kwa mke wako? Km la nini ufanye kurudisha wajibu wako kwake? Like wise kwa mke, umetimiza wajibu wako kwa mumeo, umemtimizia yale yampasayo kupata toka kwako? Je watoto wamepoata mapenzi wanayostahili kutoka kwenu wazazi? Mmewapa malezi mema na kuwafundisha maadili? Je mmewaandaaje katika kumcha MUNGU? elimu je?

Vipi kuhusu majirani zako, jamaa zako, marafiki zako na ndugu zako? Umekuwa msaada kwao hata kwa mawazo na matendo? Au umekuwa kikwazo na majuto kwao?

Ukipata majibu ya maswali hayo unaweza kujiweka kwenye mzani mwenyewe na kuangalia je? you deserve to celebrate this day na kuwa proud of yourself, proud your girl/boyfriend, proud your lover, your wife/husband, and your children forgetting not ndugu, jamaa, marafiki na majiran. If YES, huo ndio upendo mkuu niuitao mimi VALENTINE ambao ni zaidi ya kupeana zawadi, kutoka outing, kunywa pombe na kufana mapenzi siku hiyo.

If NO, anza leo, rekebisha maisha yako, kumbukumbu za neno VALENTINE km lilivyo kwenye vinywa vya watu kwa sasa na kwa asilimia kubwa zikufanye ukumbuke wajibu wako na yakupasayo kufanya kwa your girl/boyfriend, lover, mke , mume na watoto bila kusahau jamii inayokuzunguka.

Kumbuka VALENTINE ni upendo, uaminifu, uvumilivu, utu wema, fadhila,kujali (kwa tafsiri yangu)ambavyo huleta furaha, amani na raha katika maisha.

ON THE DAY
Kama ni baba/mama wa familia stay with your family, if there is any arrangement of outing should be for the family.

Km ni wapenzi basi be resposible kwa mpenzi wako, km kuna arrangement yoyote make it simple and lovely, no neeed to coplicate.

Do not drink too much, kunywa kwa kiasi na km ukinywa mambo hayawi mazuri better not to drink kabisa vileo, just take soft drinks kulinda utu wako.

Kwa wale multipurposes, wenye valentines kumi kidogo, hakikisha hugonganishi magari, tumeshudia watu wamepigana disko, wamerushiana chupa, wamevujunjana viungo n.k, valentine maana yake si hii, km una wasi wasi baki nyumbani tuu.

Mwandalie mwenzi wako zawadi, hata km ni kadi, hand cachif, kitambaa cha suti/gauni, kiatu, shati hata chocolate candy pia yatosha. Simple gifts means a lot kwenye mapenzi

If you are good singer and she like songs/singing, serenade her/ him by suprise, it will be lovely.

Kuondoa tabu za outing mwaweza andaa lovely romantic movies, mvinyo na cool room with dim light canldes mkamaliza siku yenu huko, yaweza kuwa home au hotel.

Ni hayo tu kwenu wapendwa wangu wote wa JF, It is my gift for you on Valentines day.

View attachment My Valentine.doc

LOVE YOU ALL and HAVE WONDERFUL COMMING VALENTINES DAY.

CC Babua na bibi Dark City, Mr/Mrs watu8, Mr/Mrs Mungi, Mr/Mrs/ Arushaone (hapa namaanisha mke halali Blaki Womani),Mr/Mrs Filipo,
Mr/Mrs Chimbuvu, Erickb52 na @Aymer, Vin Diesel, Paloma na charminglady, YNNAH (umuachie Arushaone aende kwa mkwewe wa halali) Mwanyasi na Arabela, CHUAKACHARA, Preta, PakaJimmy, KakaKiiza na nivea, amu, Smile, Kaizer, Bishanga na @Ko....., Kipipi, gfsonwin, lara 1, The Boss, Mkirua, @C 6, AshaDii, noahism, CHUAKACHARA and all JF members not in copy list.
 
Last edited by a moderator:
Asante mama Junior kwa ujumbe mzuri!
Hope valentine itakuwa ya furaha na amani!
Stay blessed!
 
Wifi... Nakusalimu with Love... :A S-heart-2:

KOKUTONA asante kwa ujumbe mzuri na wa msingi, nakuombea na kukutakia Valentine kwako iwe vile utakavyo. Kila la kheri...

Ahsante kushukuru. Thanks too
 
Siku ya wapendanao ni siku muhimu kwa kila mwenye mapenzi mema. Ni siku ya ku refresh your brain and mind, i mean kujitafakari km kweli unampenda? km kweli unamjali na kumlinda? It is day to make up if there is any broken hearts. It is the day to give smile to each other.

Hii si kwa wapendanao tu, i mean couples, ni kwa familia pia, ni siku ya kujikumbusha majukumu yetu kwa familia zetu, je umewajibika ipasavyo kwa mke wako? Km la nini ufanye kurudisha wajibu wako kwake? Like wise kwa mke, umetimiza wajibu wako kwa mumeo, umemtimizia yale yampasayo kupata toka kwako? Je watoto wamepoata mapenzi wanayostahili kutoka kwenu wazazi? Mmewapa malezi mema na kuwafundisha maadili? Je mmewaandaaje katika kumcha MUNGU? elimu je?

Vipi kuhusu majirani zako, jamaa zako, marafiki zako na ndugu zako? Umekuwa msaada kwao hata kwa mawazo na matendo? Au umekuwa kikwazo na majuto kwao?

Ukipata majibu ya maswali hayo unaweza kujiweka kwenye mzani mwenyewe na kuangalia je? you deserve to celebrate this day na kuwa proud of yourself, proud your girl/boyfriend, proud your lover, your wife/husband, and your children forgetting not ndugu, jamaa, marafiki na majiran. If YES, huo ndio upendo mkuu niuitao mimi VALENTINE ambao ni zaidi ya kupeana zawadi, kutoka outing, kunywa pombe na kufana mapenzi siku hiyo.

If NO, anza leo, rekebisha maisha yako, kumbukumbu za neno VALENTINE km lilivyo kwenye vinywa vya watu kwa sasa na kwa asilimia kubwa zikufanye ukumbuke wajibu wako na yakupasayo kufanya kwa your girl/boyfriend, lover, mke , mume na watoto bila kusahau jamii inayokuzunguka.

Kumbuka VALENTINE ni upendo, uaminifu, uvumilivu, utu wema, fadhila,kujali (kwa tafsiri yangu)ambavyo huleta furaha, amani na raha katika maisha.

ON THE DAY
Kama ni baba/mama wa familia stay with your family, if there is any arrangement of outing should be for the family.

Km ni wapenzi basi be resposible kwa mpenzi wako, km kuna arrangement yoyote make it simple and lovely, no neeed to coplicate.

Do not drink too much, kunywa kwa kiasi na km ukinywa mambo hayawi mazuri better not to drink kabisa vileo, just take soft drinks kulinda utu wako.

Kwa wale multipurposes, wenye valentines kumi kidogo, hakikisha hugonganishi magari, tumeshudia watu wamepigana disko, wamerushiana chupa, wamevujunjana viungo n.k, valentine maana yake si hii, km una wasi wasi baki nyumbani tuu.

Mwandalie mwenzi wako zawadi, hata km ni kadi, hand cachif, kitambaa cha suti/gauni, kiatu, shati hata chocolate candy pia yatosha. Simple gifts means a lot kwenye mapenzi

If you are good singer and she like songs/singing, serenade her/ him by suprise, it will be lovely.

Kuondoa tabu za outing mwaweza andaa lovely romantic movies, mvinyo na cool room with dim light canldes mkamaliza siku yenu huko, yaweza kuwa home au hotel.

Ni hayo tu kwenu wapendwa wangu wote wa JF, It is my gift for you on Valentines day.

View attachment 82855

LOVE YOU ALL and HAVE WONDERFUL COMMING VALENTINES DAY.

CC Babua na bibi Dark City, Mr/Mrs watu8, Mr/Mrs Mungi, Mr/Mrs/ Arushaone (hapa namaanisha mke halali Blaki Womani),Mr/Mrs Filipo,
Mr/Mrs Chimbuvu, Erickb52 na @Aymer, Vin Diesel, Paloma na charminglady, YNNAH (umuachie Arushaone aende kwa mkwewe wa halali) Mwanyasi na Arabela, CHUAKACHARA, Preta, PakaJimmy, KakaKiiza na nivea, amu, Smile, Kaizer, Bishanga na @Ko....., Kipipi, gfsonwin, lara 1, The Boss, Mkirua, @C 6, AshaDii, allgraphics123.com/graphics/get-well-soon/get-well-soon06.gif noahism, CHUAKACHARA and all JF members not in copy list.

Kwenye red mepapenda.... Shukrani kwa kunikumbusha KOKUTONA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom