Natafuta shule bora za High school (ada chibi ya 2 Milioni)

Dopaflex

New Member
May 7, 2023
1
0
Wakuu habari zenu,

Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million.

Asanteni sana wakuu
 
Private chini ya milioni 2 huduma zake huwa ni mbovu ni bora uende government ujue moja.

Kwa bei hiyo nenda Jitegemee hapo ada laki 7 .
 
Back
Top Bottom