Ila hii itabidi nifanye....tatizo lake bwana ni kwamba ukimzingua anaweza kukubambikia kesi kuwa ulitka kumkata mbususu yake upeleke kwa mganga
Uki date na Albino kumuacha unamuomba, unamuita unamwambia.

Naomba tuachane mpenzi, Albino hawa achwi achwi kama unavyoacha

Ngozi nyeusi hizi maana ukijifanya muhuni akienda ku report tu ulimkata kucha

Sahivi unamtafuta umkate nywele zake, Broo utatafutwa na defender mwezi mzima.
 
Lakini katika yote ndoto yangu Kuu ni kuolewa na mwanaume anayejimudu kiuchumi Ili Watoto tutakaopata wasipitie shida nilizopitia maishani katika malez toka Kwa baba na mama...
Ukitaka kuwapata wanaojimudu kiuchumi ni rahisi sana, Kwanza wewe binafsi vaa na ujiweke kithamani sana, mwanaume yeyote kapuku akikuangalia aishie kusema "simuwezi huyu"

Huwezi vaa kawaida halafu upate don, hiyo ni bahati and we all know bahati inakujaga mara chache sana, so ondoa maisha yako kwenye mambo ya bahati nasibu..

Jiweke ki mobetto, ki zari zari, ki huddah huddah etc then utaona wanaume wataokufata,Ila tu Matapeli wa mapenzi wapo (wale wakujifanya mapapaaaa) kumbe ni kina yahaya tu. Eneo hilo sikufundishi najua hushndwi wachuja ma BOSS fake na ma boss OG.

Kingine

Tafuta mwanaume mpambanaji, asie na chembe ya uvivu anaejua zisaka shilingi,sifa hiyo tu inatosha kukupa uhakika wa maisha bora kwa wanao.

Usijali huyu boss au vipi, angalia tu life style lake katika kufanya kazi na utafutaji inatosha kabisa kukupa jibu huyu atalea wanangu au lah.

Wanaojiweza miyeyusho sometimes,anakuoa wewe baada ya mwezi anageuka manara anaoa mwingine pesa zake zote zinaenda mtaa wa pili,unabaki na sifa tu umeolewa na milionea ila maisha yako magumu kama jiwe.
 
Nina watoto nane mkuu, lakini magumu ya maisha hayanipelekeshi kama watu wengine.

Kupitia mitihani tumeumbiwa wanaume, lakini kama wewe ukiwa na stress hufurahii mapenzi, ni juu yako.
 
Kufanyia sex chumbani kwa wazazi. Hii niliitimiza nilimkula beki 3 wakiwa safarini.
 
Aiseeeeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…