Ipi ni AI nzuri kutumia kati ya Deepthink na ChatGPT?

Nimetumia ChatGPT na DeepSeek haya ndiyo niliyojifunza:

Unajua ukitumia ChatGPT is like asking a very knowledgeable person with lots of stored information to do a calculus problem for you

Lakini mara zote ninapotumia Deepseek is like asking a Calculus professor to do it for you

DeepSeek mara zote imekuwa bora kwangu kwenye depth data analysis

Kuna watu wengine wamekuwa wakitumia DeepSeek kwenye coding problems hawataki tena kusikia uchafu wa ChatGPT

Kwenye issue za kiacademic hapo ndipo the real strength ya DeepSeek ilipo, nazungumzia the thinking process DeepSeek iko more interactive

Nyinyi majanja hamtaweza kunielewa ila kwa sisi tunaocheza na AI kwenye masuala ya academic huwa mwanetu ni DeepSeek, huyu nyangumi achana naye salute kwake

Na hapo nazungumzia Version ya R-1
Sasa Mchina katoa V3.1 mwezi huu

Huu ni unyama wa V3.1:
  • Hybrid inference: Think & Non-Think — one model, two modes

  • ⚡️ Faster thinking: DeepSeek-V3.1-Think reaches answers in less time vs. DeepSeek-R1-0528

  • 🛠️ Stronger agent skills: Post-training boosts tool use and multi-step agent tasks

Hapo mbanga zote za legal docs analysis, technical coding, research assistance zimelala

Kwangu nyangumi atabaki kuwa AI bora zaidi
Ingawa sijwahi kutumia deepseek lkn kwa maelezo yako naona unyama mwingi
 
mbona hizi AI hutofautiana majibu na wakati mwingine hukosea majibu?
 
cha kwanza hizo sio AI znaitwa chatbots, AI ni lugha ya biashara kupumbaza watu!
alafu kujibu swali lako, kunakuaga na test inafanyika kila release mpya inapotoka hivo kama uko serious na hizi chatbots basi jibu ni GR

Nimetumia ChatGPT na DeepSeek haya ndiyo niliyojifunza:

Unajua ukitumia ChatGPT is like asking a very knowledgeable person with lots of stored information to do a calculus problem for you

Lakini mara zote ninapotumia Deepseek is like asking a Calculus professor to do it for you

DeepSeek mara zote imekuwa bora kwangu kwenye depth data analysis

Kuna watu wengine wamekuwa wakitumia DeepSeek kwenye coding problems hawataki tena kusikia uchafu wa ChatGPT

Kwenye issue za kiacademic hapo ndipo the real strength ya DeepSeek ilipo, nazungumzia the thinking process DeepSeek iko more interactive

Nyinyi majanja hamtaweza kunielewa ila kwa sisi tunaocheza na AI kwenye masuala ya academic huwa mwanetu ni DeepSeek, huyu nyangumi achana naye salute kwake

Na hapo nazungumzia Version ya R-1, sasa Mchina katoa V3.1 mwezi huu

Huu ni unyama wa V3.1:
  • Hybrid inference: Think & Non-Think — one model, two modes

  • ⚡️ Faster thinking: DeepSeek-V3.1-Think reaches answers in less time vs. DeepSeek-R1-0528

  • 🛠️ Stronger agent skills: Post-training boosts tool use and multi-step agent tasks

Hapo mbanga zote za legal docs analysis, technical coding, research assistance n.k zimelala

Kwangu nyangumi atabaki kuwa AI bora zaidi
Mbona Deepseek unanishawishi nayo
 
Kuna hii grok ya X ipo vizuri zaidi ya yote kwa sababu ile inauwezo mkubwq wa kuchambua mambo ata issue current zinazoendelea grok anatambua .

Yey kitu chochote kikichapishwa x zamn twitter yy anatua lakn anachukua taarifa kweny vyanzo rasmi mfano page za habr
 
Grok naiona ipo vizuri na features nyingi haswa ukiupgrade premium
 
Usitumie AI mkuu itakupumbaza
Mkuu hata Mimi nakuunga mkono,na ninaongezea ushauri juu yako,Usitumie simu itakulemaza ,usitumie basikeli Wala pikipiki au magari maana yanakufanya uwe mzembe,badala ya kutumia usafiri wa gari kutoka mwanza kwenda Dar,wewe tembea tu ili uonekane shujaa.

Watu wako busy kuyarahisisha maisha wewe mwananchi wa magulukenda unataka yawe magumu
 
CHATGBT open I,iko vizuri sana,,ogopa kitu inayokufundisha au kukuelekeza kitu hadi ukaelewa, gharama yake ni bando lako tu,,leo bahadhi ya matatizo ya simu,radio nk nk,hakuna haja yakupeleka kwa fundi,kwa alobuni AI aendelee kubarikiwa na mungu,penye tunaendanga jeuri ya mafundi kadhaa itaisha.😄😄💪💪
 
Mkuu hata Mimi nakuunga mkono,na ninaongezea ushauri juu yako,Usitumie simu itakulemaza ,usitumie basikeli Wala pikipiki au magari maana yanakufanya uwe mzembe,badala kutumia usafiri wa gari kutoka mwanza kwenda Dar,wewe tembea tu ili uonekane shujaa.

Watu wako busy kuyarahisisha maisha wewe mwananchi wa magulukenda unataka yawe magumu
Lkn bado wamuunga mkono 😂😂👆👆
 
Story na maswali mengine yote ispokuwa coding, chatgpt... Coding hasa lines kibao deepseek
DeepSeek mara zote imekuwa bora kwangu kwenye depth data analysis
  • Kuna latest model ya claude AI ambayo ni Opus 4.1 hii ndio inashika rekodi katika benchimark zote kwa task zote, ikifuatiwa na Gemini 2.5 Pro, nafasi ya Tatu ni GPT-5
  • Katika huu mkeka Deepseek iko nafasi ya 8
1756458461862.png
 
Back
Top Bottom