ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,923
- 61,042
Kama mnavyojua tena tuko ulimwengu mpya tumepata bahati kuishi nyakati za kidigitali nyakati za data nyakati za AI
Siku hizi kila kitu subscription, mwisho wa mwezi ukijumlisha unakuta ni hela ya maana tu
Mimi kwa sasa zangu ni Netflix premium 27000 tsh,Meta Verified (blue tick) 25000 tsh,ChatGPT Pro USD 20,na Artlist.io tena max ni kama dollar 40 ila hii nime lipia tu kwa mwezi mmoja nilikuwa na project siwezi endelea nayo nasubiri muda ni Unsubscribe
nyie mnazilipia app/service gani kila mwezi? Na ipi huwezi kuiacha?na ipi unaitamani sema tu mipango haijakaa sawa