Hii shule ni zaidi ya shule, kila mtu anawajibika kuanzia mzazi mpaka mlinzi wote ni order and discipline. Siyo unalipa ada basi,wewe unatulia na kuanza kutamba tamba.Hii inamaanisha nini? Tunaomba ufafanuzi ili nasi wengine tujifunze
uchawa 😂😂Feza mtoto atapata exposure kubwa sana Hadi anakuwa ameshazoea mengi pia kukutana na watu wazito hiyo connection kuliko apate A zote with little exposure akienda chuoni anakuwa fungulia mbwa
Sio uchawa, kuwa na ma A bila exposure na connection ni ujinga dunia hii aiseeuchawa
Hiyo kawaidaKilichonifurahisha ni kujua binti ana akili kuliko mzazi