Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,058
Nina iphone 6 plus ina shida kwamba ikikaribia kuisha chaji inazima nanikiweka kwenye chaji inachelewa sana kuwaka
Hiyo line yako itakuwa haitaki kushare internet, bila shaka ni tigo hao. Jaribu kuweka line nyingine ili ujue kwa uhakika.Kwa yeyote anaejua setup ya hotspot ktk Iphone natumia Iphone SE.
Nikijaribu kufanya setup naambiwa niwasiliane na mtoa huduma,
Ni kweli kwamba kuna sharti hilo au nakosea pahala?
Msaada Tafadhali
Hellow,Habari zenu ndugu zangu samahani sana kwa usumbufu mimi ni mtumiaji wa simu za android sana yani nimetumia samsung karibia matoleo yote isipokua hizi latest zilizo toka na nimepitia page zote 55 kuanzia ya kwanza na kusoma comment
Lengo langu ni kuingua ulimwengu wa ios na ukweli ni kua sina uelewa wowote wa simu za iphone japo ninapendezewa nazo na ndio nataka kununua hivyo nimekuja hapa kwa kutaka tu kujuzwa juu ya mambo mawili matatutu
1. Kutokana na wimbi la product za apple kua nyingi nchini yani kila kona na kwa bei tofauti tofauti mfano iphone 6 mpk 6+ kuanzia 350k -450k hivyi nimekua na wakati mgumu kujua zaidi ninawezaje tofautisha vipi fake product na original product ya apple
2. Swala la version je simu izo mbili kiuhalisia zinabidi ziwe na version ipi maana nyingi zinatoka uchinani
3. Kunauwezekano kua ukatumia simu pasipo kuweka huduma za kibenk
4.na kama utashindwa kufanya updates katika simu yako kitatokea nini?
5.nimeona swala la itune inafanyaje kazi? na je unaweza ifungua kwenye komputer yoyote ya window pasipo tumia Mac ?
computer?
6.kujua kama simu ina icloud unafanyaje ?
Tafadhari angalia betri yako itakuwa na tatizo, ingia setting>>>scroll mpaka kwenye battery, tazama battery health kama inatoa maximum capacity iko chini ya 51 jiandae kununua betri tu na kama haionyeshi health betri ni bovuNina iphone 6 plus ina shida kwamba ikikaribia kuisha chaji inazima nanikiweka kwenye chaji inachelewa sana kuwaka
Ushanunua kioo?Natafuta kioo cha iphone 6s original kama unacho, 0764673337 nichek
Asante sanaHellow,
Nakujibu maswali machache, iTUNE inafanya hata kwenye windows na unaweza ingiza nyimbo, video kama kawaida, kujua kama ina icloud kwanza simu haiwezi fika kwenye home ukaona application zote, hii ni kwa ile iphone ambayo itakuwa imefungwa, lakini anayekuuzia kama ina icloud account utamwambia aitoe kwanza, ukitaka kujua kama ina icloud account utaenda setting>>>>>then kwa juu utaona jina la mwenye account au pameandikwa Apple ID,ICLOUD, ITUNE & APP STORE.
Kuhusu huduma za kibenk kuna application nyingi tu kama mpesa, tigo pesa, CRDB na NMB na mabenki mengine unaweza tumia bila kuweka huduma hizo ni wewe tu unataka kutumia vipi.
Kama hauta update maana yake kuna baadhi ya application hazitaweza fanya kazi maana zitakuwa hazisupport version ya iphone, kwa hiyo kuupdate ios ni kawaida tu kwa iphone, maana wakati mwingine kuna mapungufu yametokea kwenye version ya nyuma hivyo inapaswa kwenda na wakati.
Kujua fake au OG Nenda kwenye setting>>>>about>>>>serial number chukua hiyo kwenye hii link uingize namba za serial number ulizoziona utapata majibu yote kuhusu simu hiyo https://checkcoverage.apple.com/ ukipata ujumbe huu "We're sorry but this serial number is not valid. ujue hiyo FAKE
Asante sana
Ukweli ni kwamba mpaka leo hakuna namna ya kuitoa icloud zaidi ya hapo utatapeliwa tu.Wakuu Nawezaje kutoa icloud/apple id kwenye iPhone 6s Plus
Lugha shida , yan napenda sana simu hizi ukiweka sehemu unaichaji watu wanaona ubivu kuja kuiiba 🤣🤣🤣🤣Ndugu umetokea kigoma nini search Forum zote duniani wanalia na I cloud ni uchawi uliowekwa kiwandani na very difficult to remove sasa kwa nini unasema nothing possible under the sun halafu unasema kuna watu wanaweza
Aggrey kariakoo icloud zinanyofolewa deile
Nashukuru wadau kwa maoni yenu
Kesho jmatatu naamkia Agrey kuulizia kwa mafundi
Nakubaliana na hoja ya kuweka password haileti matokeo linapokuja swala la kuitrack simu maana hana access ya kuwasha data hivyo kuitrac inakua ngumu ikiwa offline
Ukweli ni kwamba mpaka leo hakuna namna ya kuitoa icloud zaidi ya hapo utatapeliwa tu.
Mkuu simu haiko locked ndio ninayoitumia sasahivi tatizo appe id ni jina la mtu mwingine nataka nibadilishe niweke languiOS Gani hiyo mbona iOS, mbona ios 12 unaweza tu kuwasha na kuzima data wakati simu iko locked ?
Simu ndio hii ninayo tumia appe id ni jina la mtu mwingine nataka niweke langu
Msaada tutaniiii nmefanya update imegoma kuinstall View attachment 1075130
Iphone 6 kavuuuu