iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

naomba msaada jinsi ya kudeactivate home button kwenye iPhone 5 maana imaharinika inanisumbua balaa kwa kujipress na kurud back kila nikiwa natumia cm
 
Wengi wanaosema mara simu hii mbaya mara hii nzuri huwa hawana sababu za msingi. Na ndio hawa hata ukikutana nao muda wote wanaangalia simu ila hakuna la maana wanalofanya!
 
Msaada tutaniiii nmefanya update imegoma kuinstall
20190418_181712.jpeg

Iphone 6 kavuuuu
 
Ni iphone 6 kavuuu nimeupdate kwenda ios 12.

Nilikuwa sifanyi update ikazima data na kudai niupdate nikafanya hivo ikashindwa kuinstall update mkuu
More details please
Iphone ipi?
Update kutoka ios ipi unaenda ipi?
Umetumia njia ipi
Na unakwamia wapi?
 
iphone 6 plus kwenye ku set icloud inasema connect to the internet to sign in to your iphone,lakin ipo na bando vzuri na hata kwa wifi inakataa nn tatizo hapo
 
Back
Top Bottom