iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za apple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine.

HADI MUDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPELI, wataalamu karibuni.
Hakuna anaetoa I cloud lock zaid ya Apple wenyewe au mwenye Simu aliyelock. Jambo hili lisipoteze muda kujadiliwa!
 
Hizi Iphone siku hizi zina kero kibao nadhani mchina ametawala

Tatizo wengi wananunua refurbished iphone za wachina, lkn ukinunua mpya iphone haitakusumbua maishaa!!

Mimi nimekaza moyo, imenitoka kama 1.4m kuagiza i4n 7+ mpya toka US, nina siku 2 nayo
 
Nina iphone 6 plus ina shida kwamba ikikaribia kuisha chaji inazima nanikiweka kwenye chaji inachelewa sana kuwaka

Betri itakua na shida kabadili tu au check kuna option ya kujua iko percent ngapi au tayari imefika mda wa kureplaced
 
BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
. TSH .
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge
Kioo-190,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge Plus
Kioo-270,000.-SUPER AMOLED
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k

ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 𝕎𝔸ℝℝ𝔸ℕ𝕋𝕐 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝟞

Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
Kwanini watengenezaji wa hizi simu hawakuweka radio? Hata kwa app ya off line?
 
Kwanini watengenezaji wa hizi simu hawakuweka radio? Hata kwa app ya off line?
Radio waachie wachina. Computer nayo ina radio? Download Tunein kwenye iPhone ufurahie maisha. Online radio nzuri sana unasikiliza popote pale.
 
IMG_3569.JPG
.

Iphone yangu ina passcode verification... icloud inagoma kutoka kwenye simu.. japo Apple id na password yake ipo.. nikiingiza inaniambia hiivi
IMG_3570.JPG

Msaada plz jmn simu nataka niiuze ila hiki ni kikwazo kikubwa..
 
......BEI ZA DISPLAY - IPHONE ALL MODELS.......
* .
* TSH .
.
* * iPhone 3G
* Kioo; 35,000.
.
* * iPhone 3GS
* Kioo; 37,000.
.
* * iPhone 4
* Kioo; 40,000.
.
* * iPhone 4s
* Kioo; 45,000.
.
* * iPhone 5
* Kioo; 55,000.
.
* * iPhone 5c
* Kioo; 55,000.
.
* * iPhone 5s
* Kioo; 60,000.
.
* * iPhone 5 SE
* Kioo; 80,000.
.
* * iphone 6
* Kioo; 80,000.
.
* * iPhone 6plus
* Kioo; 90,000.
.
* * iPhone 6s
* Kioo; 85,000.
.
* * iphone 6s Plus
* Kioo; 95,000.
.
* * iphone 7
* Kioo; 150,000.
.
* * iPhone 7 plus
* Kioo; 180,000.
.
* * iphone 8
* Kioo; 200,000.
.
* * iPhone 8 plus
* Kioo; 250,000.
.
* * iPhone X-SUPER AMOLED.
* .....Kioo;300,000.
.
* * PIA VIOO VYA SIM NYENGINE TUNAAGIZA ...........Samsung,Huawei,Lenovo,Oppo, n.k
* * ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 𝕎𝔸ℝℝ𝔸ℕ𝕋𝕐 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝟞
* * Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS)#0784757203
* Whatsapp * #0784757203 .
...LOCATION
*Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
......BEI ZA DISPLAY - IPHONE ALL MODELS.......
* .
* TSH .
.
* * iPhone 3G
* Kioo; 35,000.
.
* * iPhone 3GS
* Kioo; 37,000.
.
* * iPhone 4
* Kioo; 40,000.
.
* * iPhone 4s
* Kioo; 45,000.
.
* * iPhone 5
* Kioo; 55,000.
.
* * iPhone 5c
* Kioo; 55,000.
.
* * iPhone 5s
* Kioo; 60,000.
.
* * iPhone 5 SE
* Kioo; 80,000.
.
* * iphone 6
* Kioo; 80,000.
.
* * iPhone 6plus
* Kioo; 90,000.
.
* * iPhone 6s
* Kioo; 85,000.
.
* * iphone 6s Plus
* Kioo; 95,000.
.
* * iphone 7
* Kioo; 150,000.
.
* * iPhone 7 plus
* Kioo; 180,000.
.
* * iphone 8
* Kioo; 200,000.
.
* * iPhone 8 plus
* Kioo; 250,000.
.
* * iPhone X-SUPER AMOLED.
* .....Kioo;300,000.
.
* * PIA VIOO VYA SIM NYENGINE TUNAAGIZA ...........Samsung,Huawei,Lenovo,Oppo, n.k
* * ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 𝕎𝔸ℝℝ𝔸ℕ𝕋𝕐 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝟞
* * Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS)#0784757203
* Whatsapp * #0784757203 .
...LOCATION
*Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
Vipi mkuu unaposema kioo unamaanisha kile cha mbele au cha nyuma?
Simu yangu Huawei GR5 2017 imepasuka kioo ila touch yake inafanya kazi vizuri kabisa bila dosari yeyote.
Vipi kioo nitapata na kwa bei gani?
 
Vipi mkuu unaposema kioo unamaanisha kile cha mbele au cha nyuma?
Simu yangu Huawei GR5 2017 imepasuka kioo ila touch yake inafanya kazi vizuri kabisa bila dosari yeyote.
Vipi kioo nitapata na kwa bei gani?

Nicheck 0784757203
 
Back
Top Bottom