iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Nina iPhone 5s nikiweka line ya halotel inaficha options za personal hotspot lakini nikiweka line za kampuni nyingine options zinarudi...tatizo lawezakuwa ni nini..msaada tafadhali
Sometime ikitokea hivyo unazima simu alafu unawasha utaiona hotspot...mara nyingi hutokea ukiweka line tu
 
Hii yangu tofauti mkuu.. option inakuwepo ila once napo insert line ya hao jamaa wa halotel inapotea...nikirudisha line ya vodacom options zinarudi
Mie nilizima nikawasha ikakubali au fanya hivi.........

Nenda kwenye SETTING kisha CELLULAR kisha CELLULAR DATA NETWORK scroll tafuta Personal Hotspot kwenye APN andika Internet itakubali bila ubishi
 
Tayari mko nje ya game we mwaka 2017 unatumia sim ya 2010 kaa pembeni apple wanakupa matumiz ya ios kwa miaka 4 sasa we 2017 ishapita miaka7 tupa hyo sim


Niagizie jalala lako nije kuitupa hapo... Wewe huna tofauti na wanaowakataa wazazi kisa wamezeeka au hawana fedha park pembeni nipishe mie
 
Mi nataka kufungua akaunti ya i cloud anae weza anielekeze
Simple, Katika device yako ya apple(iPhone au iPad) nenda kwenye settings kisha nenda iCloud, hapo utakuta maneno create iCloud account kama hakuna user alie-log in, ila kama kuna user mwingine lazima u-log out kwa kutumia Password ya hiyo account ya awali ndio utaweza ku-create au ku-log in kwa account nyingine ya iCloud.
 
Msaada jamani nna 4s inazngua mtu akikupgia hamuelewani..yan hakisisiki chochote' ila nktumia whatsApp call iko poa na nshabadilisha mic ila still the same shit..

Msaada tafadhali.
 
Ndio manake mana kuna mtu alitumiwa ndio kanipa jana, kwaiyo ni kopo tu au kuna maujanja?

Ni kopo tu kwa huku labda uuze kwa mafundi wa simu watumie spare part kwa ajili ya kutengenezea simu zingine au uirudishe huko U.K then ikiwa huko wanaweza wakakubadilishia simu wakakupa inayotumika huku Tanzania
 
Waambie wali reset kwa kutumia rescue email ulioandika wakat wa sign up apple ID na we kichwa panz unasahau vepee maswali yale mie niliweka 2009 mpaka leo nayakumbuka majibu ikishindikana basi ni ku hard reset ambayo itafuta taka zote ulikua nazo humo na utanza kuiset upya na itabid hyo apple ID from now piga chin fungua ingine mana ishakua kimeo itakuletea majanga kama unatuma pia kwa sim.
Majibu yako yanaweza kuwa sawa but baadhi ya manna unayotumia si ya kiungwana, naweza kuwa na umri sawa na wazazi wako !!!!
 
Niagizie jalala lako nije kuitupa hapo... Wewe huna tofauti na wanaowakataa wazazi kisa wamezeeka au hawana fedha park pembeni nipishe mie

Apple huku hakuna siasa we mswahili nunua simu ingine ukitaka iOS mpya acha mbwembwe unatumia sim hyo nilitumia 2010 ilitoka october nikatumia mpaka june 2011 nikatupa...
 
Apple huku hakuna siasa we mswahili nunua simu ingine ukitaka iOS mpya acha mbwembwe unatumia sim hyo nilitumia 2010 ilitoka october nikatumia mpaka june 2011 nikatupa...


km wewe ni mwanaume ni bwege....................... tena mno km umetumia mwaka 2010 tukusaidie je? nilishakuambia wewe ni jinga haswa
 
km wewe ni mwanaume ni bwege....................... tena mno km umetumia mwaka 2010 tukusaidie je? nilishakuambia wewe ni jinga haswa

Kee kee kee kee kee ushapanic na povu la foma gold uza hyo sim we mbwa unatumia iphone 4 2017 we kenge tena mjane wenzio tuna iphone 7 sasa hv october tunachkua 7S nyau mtoto we af mtu mzima unakuja uliza kesi za 2010 hapa a mie Dada baba ako ndo ananijua
 
Back
Top Bottom