Ferrenga
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 942
- 1,659
Wakuu hivi iPhone 7 dukani ni kama shilingi ngapi hivi?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
Wakuu hivi iPhone 7 dukani ni kama shilingi ngapi hivi?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Tangu niliponunua iphone , naona hata heshima ofisini imerudi. Wapuuzi wote wanatia adabu
NI NOUMAApple popote ukikaa watu wanakuangalia mara 2-2
Basi nawewe unaanza ofcoz nyingiApple popote ukikaa watu wanakuangalia mara 2-2
.Basi nawewe unaanza ofcoz nyingi.
Alafu hivi huwa hazitoshi mfukoni eti eh??
Nina Ipod yenye IOS Version 5.1.1 nikiinstall app kama Twitter,JF na nyinginezo naambiwa ni-update IOS version.Je naweza ku-update IOS latest version au kuna njia nyingine kuinstall hizo apps ?
Nina Ipod yenye IOS Version 5.1.1 nikiinstall app kama Twitter,JF na nyinginezo naambiwa ni-update IOS version.Je naweza ku-update IOS latest version au kuna njia nyingine kuinstall hizo apps ?
IPhone 4s ndiyo inauwezo WA ku-updateNa mimi iphone 4 inaniambia hivyo hivyo sijui nini shida
ASante mii sio mjuzi sana nitawapelekea wenye kujuaIPhone 4s ndiyo inauwezo WA ku-update
Lakini je heshima unayopata kwa wewe unavyojiona unastahili ama ndo ile ukimilki gari kama vile mie kijijini kwetu naonekana tajiri lakini ukweli ninao moyoni....ahaaaa!!Tangu niliponunua iphone , naona hata heshima ofisini imerudi. Wapuuzi wote wanatia adabu
Nimejaribu kwenye laptop hola na simu inakaribia kuisha chaji..dah
Inatumika mkuu though kwa facetime nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa.. ila kwa imessage kama mtu ana iphone ukituma tu unaona sms inakuwa rangi ya blue ujue hapo imeenda kama imessage na unaweza uka-attach hata picha kwa kuwa option ya attachment inakuwepo automatically kwenye sehemu ya kutuma sms ya kawaidaJe bongo inatumika maana nmejaribu ku connect lkn cjafanikiwa msaada plz