iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

duuu bora nikanunue samasung tu iPhone maprobleeeem kibao na wengi mnaolalamika ni shida yakununua 2nd hand
mwenye shida na hela anauza Samsung s4/s5 kuna offer ya 26K+ coca baridii bure
iPhone zipo poa tu hata kama second hand...tatizo ni la wengine wananunua vitu sio iphone tu hata simu nyingine tu ambapo uelewa wa matumizi ya vifaa hivi ni mdogo na hapo ndio inakuwa shida yaani nazungumzia wale ambao ukinunua simu linapokuja suala la ku-updates au kufanya toruble shooting ndogondogo mpaka uombe msaada, kwa iphone hata kama ni samsung bado itakuzingua tu
 
Nina iPhone 5s nikiweka line ya halotel inaficha options za personal hotspot lakini nikiweka line za kampuni nyingine options zinarudi...tatizo lawezakuwa ni nini..msaada tafadhali

Hyo kawaida halotel wameficha options za kutoa hotspot so kuna kiji update kitakuja kama pop up itakubali
 
duuu bora nikanunue samasung tu iPhone maprobleeeem kibao na wengi mnaolalamika ni shida yakununua 2nd hand
mwenye shida na hela anauza Samsung s4/s5 kuna offer ya 26K+ coca baridii bure

Apple zina watu wake baba angu sio kila mtu atumie apple ndo mana kuna wengine mpaka zinafanana nao
 
Na mimi iphone 4 inaniambia hivyo hivyo sijui nini shida

Tayari mko nje ya game we mwaka 2017 unatumia sim ya 2010 kaa pembeni apple wanakupa matumiz ya ios kwa miaka 4 sasa we 2017 ishapita miaka7 tupa hyo sim
 
Ninayo IPad ya apple nilinunua Ireland 2013. Wakati wa setting kuna yale maswali unachagua na kutoa majibu. Last year nikaanza kupata meseji za ku-update kumbukumbu for security reasons. In bahati mbaya majibu ya maswali niliyojibu siyakumbuki so I could not update na hatimaye apple wame-block iPad hivyo siwezi kuitmia - wanadhani mm siyo mwenyewe. Naomba ushauri bcoz hii iPad ina kumbukumbu zangu nyingi sana muhimu.

Waambie wali reset kwa kutumia rescue email ulioandika wakat wa sign up apple ID na we kichwa panz unasahau vepee maswali yale mie niliweka 2009 mpaka leo nayakumbuka majibu ikishindikana basi ni ku hard reset ambayo itafuta taka zote ulikua nazo humo na utanza kuiset upya na itabid hyo apple ID from now piga chin fungua ingine mana ishakua kimeo itakuletea majanga kama unatuma pia kwa sim.
 
Asante mkuu... hicho kiji pop up kinatokea wakati gani..ni wao halotel wana ki fire au ikoje hii mkuu

Kinatokea ukitia line na ukaenda kwnye cellular pale Pia acha kutumia mitandao ya maskini mbwa wanabana hvo ili wewe usiweze kuwagawia watu internet incase wifi au tethering n mtandao wa kimaskin kama Tigo walikua na upuuz huo wakaona hauna maana pia kuna sim za nje kama android baadhi ya nchi wanalock kbsa usitumie hotspot.
 
Hahaha mkuu nimekupata vizuri.... nahama soon!
 
Back
Top Bottom