iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Na iPhone 6 inatatizo inasheki wakati unaitumia kunakipindi uwezi kusoma au ata kuandika msg,lakini kunawakati inatulia.tatizo inaweza kuwa nini?
 
Dah wakuu nimehamia iOS na mim kutoka Android,japo bado mgeni ila nmeanza kuzoea tatizo moja tu ambalo nmeahindwa kuvumulia naomben msaada maana nataman kuipiga chin hii simu..tatizo lenyewe ni ukiongea na mtu wakati wa calling yaani sauti yake inasikika kwa mbali sana nmefuatlia mitandaoni nmeona pia watu wanalalamika kuhusu hilo na pia nmejaribu kuchek na watu wazoefu wanaotumia iPhones naambiwa ndo zilivyo je hakuna jinsi ya kuongeza calling volume?maana nikiwa njian nikapigiwa simu inakuwa kero.Natumia iphone 6
Safisha hiyo sehemu ya kusilkilizia
 
Duh..yangu ghafla imegoma kuchaji,nmejaribu had USB cable nyingine still hola,msaada wenu waku iphone 6 hapa.
 
Duh..yangu ghafla imegoma kuchaji,nmejaribu had USB cable nyingine still hola,msaada wenu waku iphone 6 hapa.
Hiyo cable yake si inapiga kotekote kama ya iphone 5, sometime unachomoa na kuchomeka tena inakuwa poa
 
Mkuu..nimejaribu had nmechoka.
Itakuwa imekufa, au badirisha kichwa yaani USB cable chomeka kwenye kichwa kingine knachotoka kwenye umeme, au chukua hiyo usb cable jaribu kucharge kwenye laptop kuona kama ita-sense. Wakati mwingine cable za iPhone zinakufa sana
 
Nimejaribu kwenye laptop hola na simu inakaribia kuisha chaji..dah
 
Nimejaribu kwenye laptop hola na simu inakaribia kuisha chaji..dah
Pole sasa hapo ukitaka kulala ichomeke kwenye charge alafu zima iache kwenye charge mpaka asubuhi, sometime huwa inaingiza kwa percentage dogo sana (nilishawahi kupitia hapo kila nikinunua usb cable zinakufa nikawa nafanya kwa style hiyo)
 
Kwa hiyo Mkuu hata kama haioneshi kuwa inaingiza nikichomeka nikaacha had asubuh inaweza ikachaji?
 
Back
Top Bottom