Gambino X
Member
- Aug 20, 2014
- 75
- 104
Mwongo ww
Chogi... Password recovery link si unatumiwa kwenye email sasa imekuaje hapo.
Mwongo ww
Si i pod hio sasa?Me ninayo iPhone 4s nauza kwa atakayejitokeza ni yangu kbs but ilikuja kwa makosa nilipoagiza yaan haina sehemu ya kukaa line hivyo unatumia wifi tu. Anaehitaji hata spare zake aje inbox tufanye biashara
Nina 5s ina hili tatizo pia.Jaman msaaada kama mshawqi kutana na tatizo kama langu mm cmu yangu nikijaza inakuwa full nikitumia had 59% inazima niki plug in inawaka ikiwa na 59% tena je battery ndo tatizo au
Una iphone 4 g nyeupe. Mbovu?Habari mkuu,mimi kioo cha iphone 4 ninacho,napatikana dar,na no zangu ni 0713724242
Hii ni iPod mkuu.Me ninayo iPhone 4s nauza kwa atakayejitokeza ni yangu kbs but ilikuja kwa makosa nilipoagiza yaan haina sehemu ya kukaa line hivyo unatumia wifi tu. Anaehitaji hata spare zake aje inbox tufanye biashara
Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za apple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine.
HADI MUDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPELI, wataalamu karibuni.
..Mkuu naomba unijuze unafanya vipi au kama kuna link ya ku download GB Whatsapp kwa iphone
Mkuu nimeipata kwenye website after searching......
Download GBWhatsapp for IOS Devices (Working)
Lakini uki download ni file extensions ya Android .apk sijui inakuwaje au kuna kitu cha kufanya after downloading?
Msaada tafadhali
![]()
![]()
Iphone 5s mpya inachemka wakati wa kucharge , then ina dry faster battery.
Wadau kwa aliyewai kutumia facetime na imessage msaada plz anifahamishe
nina iphone 7 nikitaka kudownload kitu kwenye appstore inanitaka ni update nikienda ku update inaniambia iphone is up to date
Wazee mi napenda sana kusikiliza music,sasa kwenye android ni rahisi sana kuweka nyimbo unazozipenda,kwa kuzidownload,sasa basi,mi nataka nivite 6s siku sio nyingi,je kuweka music kwenye ios imekaaje?
Facetime n kama video call na imessage kama wasap haya
Je bongo inatumika maana nmejaribu ku connect lkn cjafanikiwa msaada plz
Why not nenda settings kule ukaset pia unaetaka ku face time na ku imessage nae lazma awe ameunganisha hzo services ninge do nawe ila noooo
Ok sawa ila tungefanya ni try ingenoga snaa
Tafuta mwnye iphone mwenzio mtest me hapana utapgwa shaba