iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Kwa wenzangu na Mimi,nilinunua I phone ya mtu baada ya yy kukosa nauli yakuongezea alikuwa anaenda Canada cku hyohyo ikabid anipe cm yake pamoja na id yake kwenye karatas sasa ikanisumbua sana kufungua jamaa nae hapatikan nimekaa kama miez miwil HIV sasa ktk kuichunguza hii cm nikakuta account ya gmail ya mhusika ambayo ndo anatumia kwenye icloud na hakulog out nilichofanya n kurequest kwamba nimesahau paswd wakaniambia niandike email nikaandika ya jamaa wakaleta message ya kuaccept nikaagree wakanipa option ya kubadil paswd kwenye icloud nikafanya hivyo kitu kikajipa nikareset cm nikaanza na I cloud yangu Mpya sahiv nakula maisha
Mtanzamia wakwanza kutoa icloud hureeeee hureeeee peha
Mwongo ww
 
Jaman msaaada kama mshawqi kutana na tatizo kama langu mm cmu yangu nikijaza inakuwa full nikitumia had 59% inazima niki plug in inawaka ikiwa na 59% tena je battery ndo tatizo au
 
Mwongo ww
Huyu sio muongo ila kasema kitu asichokijua, nahisi sentence yake ya mwisho ndo kapotosha comment yake yote, hapa yeye kareset password na kubadilisha ID na ni kitu ambacho kinawezekana kwa kila mtu kufanya ila huwezi kusema ndo umefanikiwa kutoa/bypass icloud
 
Iphone ni kitu kingine aisee usilinganishe na takataka za android.
Android ni open source boss ndo maana unaweza iedit kuifanya unavyotaka ww ndo maana kuna android tofauti as per device unayonunua mfano android ya samsung haiwezi kufanana na ya Xiaomi au Sony ingawa zitakuwa na basic architecture moja tofauti na Apple na Microsoft Mobile (Windows) za kwao zipo za aina moja device zte tofauti ya OS zao ni matoleo ya device tu ila basically its the same na haina third party editing...pia ndo maana sio rahisi au ni near imposible kukuta blackberry OS, iOS na Windows OS zinakuwa attacked na Virus
 
Wazee mi napenda sana kusikiliza music,sasa kwenye android ni rahisi sana kuweka nyimbo unazozipenda,kwa kuzidownload,sasa basi,mi nataka nivite 6s siku sio nyingi,je kuweka music kwenye ios imekaaje?
 
nina iphone 7 nikitaka kudownload kitu kwenye appstore inanitaka ni update nikienda ku update inaniambia iphone is up to date
 
nina iphone 7 nikitaka kudownload kitu kwenye appstore inanitaka ni update nikienda ku update inaniambia iphone is up to date
 
Wadau kwa aliyewai kutumia facetime na imessage msaada plz anifahamishe
 
IMG_0436.JPG
IMG_0435.JPG
Am selling iphone 7 32GB clean condition price is 1.2M contact me through 0657900003
 

Attachments

  • IMG_0435.JPG
    IMG_0435.JPG
    47.7 KB · Views: 76
Me ninayo iPhone 4s nauza kwa atakayejitokeza ni yangu kbs but ilikuja kwa makosa nilipoagiza yaan haina sehemu ya kukaa line hivyo unatumia wifi tu. Anaehitaji hata spare zake aje inbox tufanye biashara
 
Back
Top Bottom