Naomba msaada jinsi ya kujiunga GB what'sup

kideko

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
310
250
Naomba msahada jinsi ya kujiunga GB what's up, mwenye link naomba anitumie.
 

white hat

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
3,338
2,000
Naomba unifahamishe,GB WhatsApp ni kitu gani.
hii ni whatsapp ambayo imeongezewa manjonjo zaidi ya whatsapp ya kawaida
kama vile
>>kuangalia status za wenzio bila kuonekana kama umeview
>> kuwa online muda wote hata kama simu umeuza
>>kusoma message za mtu bila yeye kupata tiki mbili anapata tiki moja tu
>>kutuma mafile makubwa mpk 50mb
>>kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja
>>kuseti upo offline wakati upo online unakula tu goodtime kubadili rangi na font za kwenye chat na mengine mengi
GB whatsApp ni nini na ina tofauti gani na whatsapp ya kawaida?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom