iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Mie nataka nihamie iOS , ila sijui price na simu IPI nzuri ya iPhone 5s , iPhone 6,6+,6s na 6s+, na kuna hii iPhone SE. Mwenye kuzifahamu naomba anisaidie jinsi ya kuzitambua, na latest price ili niweze Ku align na budget yangu.
 
Je unaweza kusave vitu vyako kwene ITUNES.??? Msaada jaman jinsi ya kusave vitu kama picha kwene icloud.

Yana hata sim ikipotea nikinunua iphone nyengne nkiconnect na itune isyncronise na vitu vyangu viwe safe.
 
Nafurahi sana kuona iphone wameweka security nzuri kwenye simu tofauti na android, dawa ya shida yako mrudishie mwenye nayo. Next time ukanunue dukani.

Na nnaomba mungu wasipate ufumbuzi kabisa, na nna waombea Mungu watengenezaji wa iphone wakomae na swala la security hivyo hivyo!!

Wamesema hauiwezekani, na haiwezekaniki!! tafuta aliyekupa simu akupe password.
Swala la security kwasasa hata samsung wako vizuri ukinunua simu ya samsung fungua samsung account yako hamna namna ya kubypass hii kitu
 
Je unaweza kusave vitu vyako kwene ITUNES.??? Msaada jaman jinsi ya kusave vitu kama picha kwene icloud.

Yana hata sim ikipotea nikinunua iphone nyengne nkiconnect na itune isyncronise na vitu vyangu viwe safe.

Storage ya iCloud ni ndogo (5GB) download drop box au google drive usave vitu vyako vyote uko. Siku ukivitaja una login kwenye pc au smartphone yoyote utazipata.
 
Kwa wenzangu na Mimi,nilinunua I phone ya mtu baada ya yy kukosa nauli yakuongezea alikuwa anaenda Canada cku hyohyo ikabid anipe cm yake pamoja na id yake kwenye karatas sasa ikanisumbua sana kufungua jamaa nae hapatikan nimekaa kama miez miwil HIV sasa ktk kuichunguza hii cm nikakuta account ya gmail ya mhusika ambayo ndo anatumia kwenye icloud na hakulog out nilichofanya n kurequest kwamba nimesahau paswd wakaniambia niandike email nikaandika ya jamaa wakaleta message ya kuaccept nikaagree wakanipa option ya kubadil paswd kwenye icloud nikafanya hivyo kitu kikajipa nikareset cm nikaanza na I cloud yangu Mpya sahiv nakula maisha
Mtanzamia wakwanza kutoa icloud hureeeee hureeeee peha
 
Minaombeni msaada jinsi yakuondoa haya matangazo yanayo jitokeza kila Mara kilanapokua natumia simu yangu yamekua kelo kwangu kunawakati inabidi nizime simu Kwanza alafu niwashe ndo niendelee
 
Back
Top Bottom