Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Nina ipad mini.... niliweka security code sasa kuna mtu alijaribu kufungua akashindwa na ikajilock. Sasa inaniambia iPad is disabled, connect to iTunes...... msaada kwa anaejua njia za kuifungua hii...
Kama huna iTunes download halafu connect simu kwenye pc iTunes ita detect kisha fanya kui restore