barakachaplin
Senior Member
- Jan 24, 2014
- 121
- 54
Kwaiyo tunaotumia iphone 4 je
Nina ipad mini.... niliweka security code sasa kuna mtu alijaribu kufungua akashindwa na ikajilock. Sasa inaniambia iPad is disabled, connect to iTunes...... msaada kwa anaejua njia za kuifungua hii...
UTAWEZA VIPI Ku LOCK IPHONE AMBAYO MTU ALIEKUIBIA ANAZIJUA PASSCODE NAMIMI NATAKA NIILOCK ASIWEZE KUITUMIA!.laikin password za icloud hazijui
Wadau bado cijapata ufumbuzi eti ni kweli iPhone iliyolockiwa inaweza kuwa unlocked?? Maana eti nasikia kuna wataalam wa ku unlock...mara nasikia ku unlock haiwezekani...WHICH IS WHICH??
badilish password zako za icloud
Kwaiyo tunaotumia iphone 4 je
Poa donzii mayeyo kwaiyo nikibadirisha password za iCloud screen itajulock au! mana sitaki aitumue kabisa hata kupiga picha ashindwe
Poa donzii mayeyo kwaiyo nikibadirisha password za iCloud screen itajulock au! mana sitaki aitumue kabisa hata kupiga picha ashindwe
Haina haja ya kubadili password maana hajui ya icloud ingia google kwenye pc log in icloud account yako nenda sehemu ya find my phone bonyeza lost mode atakutafuta mwenyewe ikibidi erase kila kitu itabaki pambo atarudi mwenyewe hatoweza itumia
Mkuu hii itakua possible endapo atatumia internet lakini asipo tumia huwezi kumkamata
Dunia leo ya leo awe na chuma kinachoingia net alafu asiingie cdhani lazima ataingia net tu akishabonyeza lost mode jamaa akiwasha data kwisha habari yake
Leta 250k nikupe iphone4 mpya kabisa
Dah mim Nina iPhone 4 ila natumia iCloud ya mtu je nikitaka niweke ya nyingine inagoma
nahitaji iphone 4 au 4s je ni bei gani used au mpya?