Iphone 6+ mpya,nipe 110k bei ya kutupa ukabadili kioo

Iphone 6+ mpya,nipe 110k bei ya kutupa ukabadili kioo

Nipe 100k nikuachie iPhone 6+ ,simu iko kwenye hali nzuri imetumika miezi minne tu, bahati mbaya imedondoka ikapasuka kioo ukichomeka chaji inawaka. Gharama ya kioo na matengenezo ni 65k tu.
Ipo dar es salaam
No 0654757823

View attachment 1966988

View attachment 1967023

View attachment 1967041

View attachment 1967044
Huduma zetu ni pamoja na:





- Ubunifu wa wavuti


- Ubunifu wa nembo


- Usajili biashara/kampuni


- Tiketi ya ndege na basi (ya Ndani na Kimataifa)


- Usajili wa Pasipoti na Visa


- Usajili vyuo vya nje


- Uagizaji bidha ndani na nje ya nchi.
 
Mwenye kioo cha sumsung j4+ tufanye kuwasiliani nina uhitaji nacho
 
Nyie ndo huwa mnatype Kwa hasira humu jf simu zake ubovu wake ni kioo duuh
 
Akishakuuzia,ukikwama sehemu ukimpigia simu utasikia namba unayoipigia haipo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom