Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,666
- 5,058
- Thread starter
- #41
Kishipa unamaana gani ndugu.Sasa hii ni kishipa
Sijaitangaza sababu kioo chache Og bei imesimama
Kishipa unamaana gani ndugu.Sasa hii ni kishipa
Kishipa unamaana gani ndugu.
Sijaitangaza sababu kioo chache Og bei imesimama
Exactly, kumbe yako "used"Ok nenda pale makumbusho au m city wanazo og ukachukue mpya kwa 100k
Nitafute kwenye hii namba 0654757823Mkuu twende kwa fundi, ikabadilishwe kioo, tuiwashe, ikiwaka utoe icloud. Ntamlipa fundi na wewe ntakulipa hela yako.
Hii michezo yenu tunaijua, unauza then unareport kuibiwa simu yako, tena iphone mzee. Acha zako
Dada njoo taratibu hizi ni biashara ujueMkuu niletee nipo Chalinze. Uje na elfu 90 manake mimi nina laki mbili kesh
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app