Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,976
- 10,466
View attachment 45473Kiongozi wa Kambi ua Upinzani bungeni mheshimiwa Freeman Mbowe akifafanua jambo wakati wa kikao cha kujadili ratiba ya maziko ya Mhe. Regia E. Mtema. Kutoka kushoto ni Mhe. Maua Daftari, Mhe. Zaituni Buyogela Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. William (Bill) Lukuvi). Chanzo: Michuzi Blog
Da Zaituni sayz: "simzimikii huyu kaka basi tu.....anajifanya anajuuuuuua!'