Ipe Maneno picha hii, mheshimiwa Mbunge

Ipe Maneno picha hii, mheshimiwa Mbunge

Haaaa Haaaaa!!! Zaituni kama vile yuko kwenye mipasho.....!!! Ahaaa
 
Utawafahamu kwa sura na matendo yao! Haiwezekani mbunge mwenzako achangie mada na wewe (mb) umwangalie kama vile ananuka mavi!

Huyu Mama ovyo kabisa nafikiri ni yeye anayezunguka na Machali kumkandia Kafulila. Ovyo moja kwa moja
 
Picha imepigwa kwenye kikao cha kujadili msiba mzito lakini daah! hata mie huyo dada aliniacha hoi kwakeli...Lol! Kulikoni amwangalie mtoto wa mwanamke mwenzake kwa sura iliyokunjamana hivyo! Halafu kama vile Lukuvi kamshtukia na ndio maana ana-smile!
 
Nikikupata........ lazima nikutegue kiuno
IMG_8654.JPG


Kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman Mbowe akifafanua jambo, Kulia kwake ni mbunge Zaituni Buyogela (mb)
 
Uki angalia vizuri, ni kama kila mtu kapigwa na butwaa.

Yes, lakini sura ya Zai Buyogela imekaa 'kishari' zaidi, hata kama hakuwa na nia mbaya mbaya na Mbowe
 
Nikama anasema hivi:Ili libaba linaongea mpaka linatoa mvua ya mate alafu domo linanukaaaa.Silipendiiiiiiiiiii
 
Hizi furniture hata Ikulu hakuna loooooo......!!
 
Alafu yupo kwenye msafara wa kwenda Ifakara kumzika mbunge wetu mpendwa nimesikia jina lake.
 
Hapa lazima kasyonya huo mdomo duh, kapindisha sura kama kala pilipili kichaa
 
Wajameni hebu muangalieni huyu mama mseme ana maana gani kwa Mheshimiwa Mbowe
 

Attachments

  • mbowe.JPG
    mbowe.JPG
    42.4 KB · Views: 81
Khaaa!! Hii kali hadi aibu kwa mdada akijiona....
 
si ajabu hana kusudio lolote baya la kumdharau mwenyekiti, sometimes tunakuwa na mawazo mengi unajikuta umekunja uso hata sehemu isiyostahili na wala hujui ila watu wanakuona upo hivyo, siwezi kumjaji huyo dada, Mungu tu ndo anajua mawazo yake.
 
Back
Top Bottom