Ipe Maneno picha hii, mheshimiwa Mbunge

Ipe Maneno picha hii, mheshimiwa Mbunge

Idimi

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2007
Posts
15,662
Reaction score
11,750
IMG_8654.JPGKiongozi wa Kambi ua Upinzani bungeni mheshimiwa Freeman Mbowe akifafanua jambo wakati wa kikao cha kujadili ratiba ya maziko ya Mhe. Regia E. Mtema. Kutoka kushoto ni Mhe. Maua Daftari, Mhe. Zaituni Buyogela Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. William (Bill) Lukuvi). Chanzo: Michuzi Blog
 
View attachment 45473Kiongozi wa Kambi ua Upinzani bungeni mheshimiwa Freeman Mbowe akifafanua jambo wakati wa kikao cha kujadili ratiba ya maziko ya Mhe. Regia E. Mtema. Kutoka kushoto ni Mhe. Maua Daftari, Mhe. Zaituni Buyogela Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. William (Bill) Lukuvi). Chanzo: Michuzi Blog


CCM walitaka posho ya kukaa pale sasa Mbowe ndio alikuwa anajibu hoja kuwa hapo hakuna posho....
 
huyu Buyogela alivyokunja uso nadhani kaambiwa hakuna sitting allowance for today maana tuko msibani
 
IMG_8654.JPG


Kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman Mbowe akifafanua jambo, Kulia kwake ni mbunge Zaituni Buyogela (mb)
 
Hapo mbunge anawaza "Hili kaka kujidai hili, mwakangalie kwanza sura mbayaa, kama ****** yangu" LOL
 
Utawafahamu kwa sura na matendo yao! Haiwezekani mbunge mwenzako achangie mada na wewe (mb) umwangalie kama vile ananuka mavi!
 
Huyo mama sura hiyo kuna siku anapanda nayo kitandani na mumewe............hakuna usingizi hapo
 
Zaituni: naye huyu anaongea nini upuuzi mtupu hahahahahahah kakunja sura utafikiria anakamuliwa jipu:lol::lol: mijitu mingine bana
 
wamama wa hivi hawakawii kukupiga ngumi na kukuparua uso ukichelewa kurudi hme
 
Kudadadeki ipo chiku nitazaa na mwanao wa mwisho na kama unabisha thubirii akue
 
Back
Top Bottom