Spika Anna Makinda yupo ziarani nchini Oman

Spika Anna Makinda yupo ziarani nchini Oman

MTU ALIYE NYIKANI

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
345
Reaction score
463
IMG_20141019_112051.jpg

Spika wa Bunge Mhe Anne Semamba Makinda akipata maelezo toka kwa Katibu wa Bunge la Oman,Ali Nasser Al Mahrouqi ya namna mfumo wa kisasa wa uendeshaji Bunge ulivyo katika Bunge la Oman. Bunge hilo limeanza mfumo wa kutotoa hotuba/nyaraka kwa makaratasi na sasa wanatoa kwa njia ya mtandao (e-parliament).Wa pili kulia Mhe Sheikh Khalid Hilal All Maawali akifuatiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje Mhe Mussa Zungu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe.
IMG_20141019_111448.jpg
Mhe Spika Sheikh Khalid Al Maawali akifafanua jambo kwa Mheshimiwa Spika Makinda kuhusu ukumbi wa Bunge la Majlis A'Shura.
IMG_20141019_110606.jpg
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge Mheshimiwa William Lukuvi akiongea na Spika wa Bunge la Oman Sheikh Khalid Al Maawali.Mhe William Lukuvi ambae pia ni Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge ni miongoni mwa wabunge nane wanaoambatana na Mheshimiwa Spika katika ziara rasmi ya kibunge nchini Oman.
IMG_20141019_113100.jpg
Mheshimiwa Spika Makinda akihojiwa na Kituo cha Televisheni cha Oman TV kuhusu ziara yake.
IMG_20141019_123244.jpg
Mheshimiwa Spika akimkabidhi zawadi ya picha ya mlango wa Zanzibar Spika wa Bunge la juu la Oman Majlis Doula, Mheshimiwa Dr Yahya Al Mandhary.Mwingine pichani ni Balozi wa Tanzania Oman Mheshimiwa Ally Saleh.
IMG_20141019_133153.jpg

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akizungumza na Wabunge wenzake waliomo katika msafara.
 

Attachments

  • 1413635358115.jpg
    1413635358115.jpg
    53.9 KB · Views: 6,680
  • 1413635397979.jpg
    1413635397979.jpg
    45.8 KB · Views: 2,120
  • 1413635450830.jpg
    1413635450830.jpg
    40.7 KB · Views: 5,864
Kuna watu kama Mbowe na Lukuvi kwenye picha ya tatu, au ni macho yangu!
 
We gettin Arab money,Shalai Lai Lai Halilili Hai Lo!
Hi Li Ba Lai Hey Hi Li Bai Lo!
We gettin' Arab money!

Kikwete baada ya kuvurunda mchakacho wa Katiba na kushtukia mataifa ya magharibi ambayo ni wahisani wakubwa wa bajeti ya serikali kuanza kumgeuzia mgongo huyo ameandaa safari ya kwenda China na baadaye nchi za kiarabu kuendelea kupitisha baliki kuombaomba wakati rasilimali za nchi zipo.
 
Back
Top Bottom