Ipe Maneno picha hii, mheshimiwa Mbunge

Ipe Maneno picha hii, mheshimiwa Mbunge

me nathani huyo dada hakuwa na nia mbaya yupo hvo tu si kama steven wasila?
 
akiiona hii picha sijui atajisikiaje. inawezekana hata hakuwa na nia mbaya.
 
nahisi mkuu mbowe alikua anahadithia kitu flan ambacho kiliwavuta hisia hao wasikilizaji....it seems ni kitu flan ambacho kilikua kinasikitisha/kutoa simanzi flan, huyo mama hajafanya hivo kwa makusudi ni emotion aliyoipata kutokana na story inayoendelea.
 
Back
Top Bottom