Invitation to all JF members: Debate!

Invitation to all JF members: Debate!

jmushi1 na Ritz funikeni kombe mwanaharamu apite, taratibu tu tutaelewana humu, na huko ndiko tunakopaswa kwenda.

Sina tatizo na "wanaharam" lol!however point taken,debate yako wewe si tarehe 24?Ninachofanya ni kujaribu kuona udini hautatawala pindi mjadala wenu ukianza,maana hapa unaplay a "mediator" na wakati mimi nimeshaona mijadala yako dhidi ya watu wenye udini,hopefully na wewe utalifunika hilo kombe.
 
Last edited by a moderator:
Sina tatizo na "wanaharam" lol!however point taken,debate yako wewe si tarehe 27?Ninachofanya ni kujaribu kuona udini hautatawala pindi mjadala wenu ukianza,maana hapa unaplay a "mediator" na wakati mimi nimehsaona mijadala yako dhidi ya watu wenye udini,hopefully na wewe utalifunika hilo kombe.
Debate ni tarehe 24 Kiongozi, soma vizuri pale juu kwenye hii thread.
 
sorry nimekubali sahihisho.Ni tarehe 24,I thought my self the other day counting down was four days.Nilichelewa kusahihisha,ila narudi kufanya hivyo right away bila kugusa ama kuudistort kwa namna yoyote ile ujumbe wa bandiko.
 
yeye unaweza ukawa sahihi kwa unalodhani au kufikiri, lakini je hauoni kama tunahitaji kuzalisha akina mwanakijiji wengi zaidi? Na kama ndio unadhani ipi ni njia sahihi ya kuwapata kina mwanakijiji wengi, je fursa kama hizi apewe mwakijiji ili aendelee kuwa bonge la mwanakijiji au apewe matola ili naye apate fursa ya kuunowa ubongo wake?

well sayed! Tatizo kamchina bana, utanidai like moja!!
 
Last edited by a moderator:
Loh,tatizo itakua busy time.......

Nilitaka kugonga "Like" kama 5 hivi, lakini nikajikuta kumbe nikitaka kugonga tena ndo nandoa kabisa hata hiyo "Like"!! I expected such wonderful opportunity could be on weekends or at least during slacky time kwa hapa EA!!! Anyway, wengine tutakuja soma like ordinary posts; nazani sio mbaya sana!!!
 
YEYE Unaweza ukawa sahihi kwa unalodhani au kufikiri, lakini je hauoni kama tunahitaji kuzalisha akina Mwanakijiji wengi zaidi? na kama ndio unadhani ipi ni njia sahihi ya kuwapata kina Mwanakijiji wengi, je fursa kama hizi apewe Mwakijiji ili aendelee kuwa Bonge la Mwanakijiji au apewe Matola ili naye apate fursa ya kuunowa ubongo wake?

Sioni kama Mzee Mwanakijiji anaweza kuwa best suit kwenye mijadala kama hii kwa kile ninachoamini kwamba MMM hayupo hapa Tanzania; kinyume chake atakuwa "is like a square peg in a round hole!" Main Speakers ni lazima wawe wale wanaoona hali halisi ya hapa Tanzania na sio wanaoifahamu Tanzania kupitia kusoma kwenye mitandao, from cooked statistics, kusikia au kusoma taarifa za Tanzania kupitia JF!! Na hata kama huyo Zomba na Matola nao hawapo hapa Tanzania, basi nao sio best choice vinginevyo hawataleta mezani chakula kinachohitajika....!!!

All in all, a very good if not EXCELLENT start.....!!!
 
Sio kwa nape bali kwa mpenda ndizi na Magufuri. Ushauri wangu ni kwamba afute mpango wa kutumia takwimu za kilometer na viwango vya rami za magufuri sababu nina ushahidi wa kutosha kwamba, kwa kuanzia tu records zote alizozitoa pale Jangwani siku wanafanya mazoezi ya kuhutubia wakiwa kama wapinzani kuanzia 2015 zilikuwa na mapungufu makubwa sana kama sio uongo kabisa kuanzia kwenye kilometers, contractors, gharama, na financer.

Kilometer nyingi alizioverstate chache sana aliunderstate na hakuna aliyotoa takwimu sahihi
Baadhi ya barabara hakuna contractor alikuwa field sababu ya ukosefu wa fedha
Baadhi ya barabara ujenzi ulikuwa umesimama sababu ya ukosefu wa fedha
Barabara nyingi zikofinanced na nchi na mashirika wahisani wakati alisema zinagharamiwa na serikali ya ccm
gharama zote alizotaja zilikuwa za uongo.

Akisubutu tu kutumia takwimu hizi namlipua.

Haya mambo mbona simpo tu....jambo la kuzingatia hapa ni kwamba huu mjadala uwe serious debate na sio mjadala wa kuleta propaganda na hata kupinga yaliyopo ili mradi tu mtu uonekane una mapenzi sana na CCM au CHADEMA!! Uwe ni mjadala wa kuondoa matongotongo kwa members na usiwe mjadala wa kishabiki zaidi! Hivyo basi, Zomba anaweza sema kwamba serikali ya JK imejenga barabara kwa kiwango cha lami toka Point X to Point Y.......i hope, hapa JF kutakuwa na member tu aliye familiar na distance btn Point X to Point Y.....let's name that member kwamba ni Mr/Ms Q; so kama Zomba anadanganya; basi Mr/Ms. Q aseme wazi kwamba Zomba anadanganya....hakuna lami btn Point X nd Point Y! Lakini ikithibitika kwamba Zomba yupo sahihi na Mr/Ms Q anadanganya; basi apigwe ban ya kufa mtu kwakuwa anataka kuubadilisha mjadala kuwa ni mjadala wa porojo!!
 
jmushi1 na Ritz funikeni kombe mwanaharamu apite, taratibu tu tutaelewana humu, na huko ndiko tunakopaswa kwenda.

Mkuu Matola umenena vyema. Naona jmushi1 na Ritz walitaka kuanzisha mdahalo kwwnye ukaribisho wa mdahalo wa Matola na Zomba. Mkuu Ritz huu ni mwezi wa toba ni wakati ambapo dhambi za waumini zinatakaswa tumia wasaa huu kujitakasa swaumu yake isije ikawa ni kushinda na njaa tu! Nasubiri kwa hamu mdahalo wa Matola na Zomba. Najua tutapata point mujarabu toka pande
 
Last edited by a moderator:
Sioni kama Mzee Mwanakijiji anaweza kuwa best suit kwenye mijadala kama hii kwa kile ninachoamini kwamba MMM hayupo hapa Tanzania; kinyume chake atakuwa "is like a square peg in a round hole!" Main Speakers ni lazima wawe wale wanaoona hali halisi ya hapa Tanzania na sio wanaoifahamu Tanzania kupitia kusoma kwenye mitandao, from cooked statistics, kusikia au kusoma taarifa za Tanzania kupitia JF!! Na hata kama huyo Zomba na Matola nao hawapo hapa Tanzania, basi nao sio best choice vinginevyo hawataleta mezani chakula kinachohitajika....!!!

All in all, a very good if not EXCELLENT start.....!!!

Nice one. Walioko Tanzania ndio wanajua zaidi kuhusu Tanzania na hivyo wao pekee wanastahili kuzungumzia mambo ya TZ kwani wale waluonje ya Tanzania hawana namna nyingine yeyote ya kupata taarifa sahihi kuhusu Tanzania isipokuwa kwa kupitia mitandao. Amazing logic!
 
Mzee Mwanakijiji pamoja na kwamba uko ng'ambo kama wanavyosema lakini kwa kuwa dunia ni kama kijiji basi ni sawa na uko kijijini Tanzania. Umekuwa ukitoa taarifa nyingi za ndani hata kabla ya wa ndani hawajazipata na wanazipata toka kwa mwanakijiji ambaye yupo ughaibuni (kama ni hivyo). Mfano ni ile post ya jana ya yule polisi akipiga mayowe akiomba suluhu kuwa yeye siye. Hii ililetwa hapa na Mzee Mwanakijiji wakati mimi ambaye nipo Mbagala Kingugi nikiwa sijaipata.

Tusibaguane na kuenguana kwa namba tu ya umbali kwa kilomita. Tupimane kwa kuelewa mambo ya nchi uwe Ghamboshi, Dar, NYC, Nauru, nk
 
Mkuu yao inaanza tarehe 24,hii chukulia ni "jaramba" so to speak...Na kama ujuavyo kwenye jaramba si lazima iwe 1st eleven peke yao.
 
Last edited by a moderator:
Sioni kama Mzee Mwanakijiji anaweza kuwa best suit kwenye mijadala kama hii kwa kile ninachoamini kwamba MMM hayupo hapa Tanzania; kinyume chake atakuwa "is like a square peg in a round hole!" Main Speakers ni lazima wawe wale wanaoona hali halisi ya hapa Tanzania na sio wanaoifahamu Tanzania kupitia kusoma kwenye mitandao, from cooked statistics, kusikia au kusoma taarifa za Tanzania kupitia JF!! Na hata kama huyo Zomba na Matola nao hawapo hapa Tanzania, basi nao sio best choice vinginevyo hawataleta mezani chakula kinachohitajika....!!!

All in all, a very good if not EXCELLENT start.....!!!
Duh!haitakuwa ubaguzi kweli mkuu wangu?Maana hata tuki dig deep down hao walioko bongo ndiyo wenye matatizo makubwa zaidi kwasababu wameifikisha nchi hapo ilipo,na ninazungumzia watetezi wa the status quo.Nani kasema umasikini wa watanzania unajulikana na watanzania wanaoishi nchini peke yao?Ama una maanisha matatizo ya umsikini anayoyafahamu Mwanakijiji yamepikwa huko nje ya nchi?fafanua basi ili ueleweke zaidi,funguka.otherwise huu ni upotoshaji ushaanza kabla hata ya debate kuanza rasmi..
 
Haya mambo mbona simpo tu....jambo la kuzingatia hapa ni kwamba huu mjadala uwe serious debate na sio mjadala wa kuleta propaganda na hata kupinga yaliyopo ili mradi tu mtu uonekane una mapenzi sana na CCM au CHADEMA!! Uwe ni mjadala wa kuondoa matongotongo kwa members na usiwe mjadala wa kishabiki zaidi! Hivyo basi, Zomba anaweza sema kwamba serikali ya JK imejenga barabara kwa kiwango cha lami toka Point X to Point Y.......i hope, hapa JF kutakuwa na member tu aliye familiar na distance btn Point X to Point Y.....let's name that member kwamba ni Mr/Ms Q; so kama Zomba anadanganya; basi Mr/Ms. Q aseme wazi kwamba Zomba anadanganya....hakuna lami btn Point X nd Point Y! Lakini ikithibitika kwamba Zomba yupo sahihi na Mr/Ms Q anadanganya; basi apigwe ban ya kufa mtu kwakuwa anataka kuubadilisha mjadala kuwa ni mjadala wa porojo!!
Kabla ya mjadala kuanza siku hiyo,ni muhimu pia ahadi zote alizotoa mzee wa magogoni zibandikwe hapa,ili tufanye comparison inayomake sense,as in apples to apples, oranges to oranges and so forth...Kujenga nchi kama ulivyowaahidi wapiga kura ni majukumu yako kama rais na kamwe si a favor kwa wananchi,its more of their right, akifanya vyema kama alivyoahidi, atakuwa praised na wananchi,akichemsha,lazima awe accountable,simple.
 
Sioni kama Mzee Mwanakijiji anaweza kuwa best suit kwenye mijadala kama hii kwa kile ninachoamini kwamba MMM hayupo hapa Tanzania; kinyume chake atakuwa "is like a square peg in a round hole!" Main Speakers ni lazima wawe wale wanaoona hali halisi ya hapa Tanzania na sio wanaoifahamu Tanzania kupitia kusoma kwenye mitandao, from cooked statistics, kusikia au kusoma taarifa za Tanzania kupitia JF!! Na hata kama huyo Zomba na Matola nao hawapo hapa Tanzania, basi nao sio best choice vinginevyo hawataleta mezani chakula kinachohitajika....!!!

All in all, a very good if not EXCELLENT start.....!!!

Duh!haitakuwa ubaguzi kweli mkuu wangu?Maana hata tuki dig deep down hao walioko bongo ndiyo wenye matatizo makubwa zaidi kwasababu wameifikisha nchi hapo ilipo,na ninazungumzia watetezi wa the status quo.Nani kasema umasikini wa watanzania unajulikana na watanzania wanaoishi nchini peke yao?Ama una maanisha matatizo ya umsikini anayoyafahamu Mwanakijiji yamepikwa huko nje ya nchi?fafanua basi ili ueleweke zaidi,funguka.otherwise huu ni upotoshaji ushaanza kabla hata ya debate kuanza rasmi..

Mkuu wangu, to be honesty kuna baadhi ya mambo yapo general sana...wala hayahitaji shahada yoyote kuyafahamu!! Hata hivyo, kuna baadhi ya mambo yapo so specific...kwahiyo inabadi tutofautishe hapa!! Kwa mtu kama Mzee Mwanakijiji anaweza kudadavua kwa tani yake kuhusu maisha ya Watanzania...hilo lipo wazi!!!! Lakini kwake lazima imwee vigumu kuelezea kwa ufasaha na uhalisia kuhusu nini kimefanywa na nini hakijafanywa wakati wa Utawala wa JK....hii kitu ni so specific!! Nini kimefanywa na serikali ya JK ni tofauti sana na kusema nini kimefanywa na serikali ya CCM!!! Kama tunataka kumzungumzia JK, yaani hatuna budi kuanzia Deceember 2005 to date lakini kama ni CCM basi ni since Uhuru...hilo kila mtu anaweza kulizungumzia! Unless kama sijaelewa majadala utahusu nini...!! Na hapa wala hakuna la kupotosha, bali ndo ukweli wenyewe!!! Na wala sijasema kwamba Mwanakijiji hana haki ya kuchangia lakini hawezi kuwa BEST(tuelewe hilo neno) suit kuwa main speaker!!!!

Mzee Mwanakijiji pamoja na kwamba uko ng'ambo kama wanavyosema lakini kwa kuwa dunia ni kama kijiji basi ni sawa na uko kijijini Tanzania. Umekuwa ukitoa taarifa nyingi za ndani hata kabla ya wa ndani hawajazipata na wanazipata toka kwa mwanakijiji ambaye yupo ughaibuni (kama ni hivyo). Mfano ni ile post ya jana ya yule polisi akipiga mayowe akiomba suluhu kuwa yeye siye. Hii ililetwa hapa na Mzee Mwanakijiji wakati mimi ambaye nipo Mbagala Kingugi nikiwa sijaipata.

Tusibaguane na kuenguana kwa namba tu ya umbali kwa kilomita. Tupimane kwa kuelewa mambo ya nchi uwe Ghamboshi, Dar, NYC, Nauru, nk

Nice one. Walioko Tanzania ndio wanajua zaidi kuhusu Tanzania na hivyo wao pekee wanastahili kuzungumzia mambo ya TZ kwani wale waluonje ya Tanzania hawana namna nyingine yeyote ya kupata taarifa sahihi kuhusu Tanzania isipokuwa kwa kupitia mitandao. Amazing logic!

Let's be serious, wala hamna suala la ubaguzi hapo....!!! Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuchangia, kutoa taarifa na uhalisia wa mambo. Mtu kama Mzee Mwanakijiji, au mwingine yeyote ambae hayupo Tanzania atakuwa anategemea zaidi taarifa za kusikia ama za kusoma ambazo wakati mwingine zinakuwa misleading. Kimbunga umesema upo Kingugi; itakuwa ni kichekesho kusema kwamba hali ya Kingugi mimi naweza kuifahamu vizuri kuliko wewe unayeishi huko!! Ok, I can be told, or even read kwamba Kingugi "yote" hamna maji......lakini wewe ndo utakuwa unafahamu vizuri zaidi kama kweli Kingugi "yote" hamna maji!! Mie nakaa Temeke.....itakuwa ajabu mtu aliye Kenya akawa anazifahamu vizuri barabara za Temeke kuliko mimi ninayeishi huku!! Tusichanganye matukio na mambo yaliyopo kama ambavyo Kimbunga umetoa mfano wako!! It's true that; Temeke yanaweza yakatokea mauaji na wewe uliye Kingugi ukapata taarifa kabla yangu....hiyo katu haiwezi kuwa kigezo kwamba wewe unaifahamu Temeke kuliko mie ninayeishi huko!!!

Tuache masihara.....hivi kweli ni sahihi kwa mtu aliye nje ya Tanzania ndie awe MSEMAJI MKUU kuhusu nini kimefanywa au hakijafanywa na serikali?! Kama itakuwa ni suala la kutoa ripoti ya nini kimefanywa na nini hakijafanywa, then u might be right lakini kama ni mjadala ambao wakati mwingine mtu atalazimika kuthibitisha kile alichokisema "kutokana na yeye alivyokiona" kile anachokitetea; then mtu aliye nje sio mtu sahihi vinginevyo watu walio serious wasingekuwa na sababu ya kwenda sehemu X ili waweze kuandika yale yaliyopo huko!!!
 
Back
Top Bottom