Invitation to all JF members: Debate!

Invitation to all JF members: Debate!

Mkuu Matola umenena vyema. Naona jmushi1 na Ritz walitaka kuanzisha mdahalo kwwnye ukaribisho wa mdahalo wa Matola na Zomba. Mkuu Ritz huu ni mwezi wa toba ni wakati ambapo dhambi za waumini zinatakaswa tumia wasaa huu kujitakasa swaumu yake isije ikawa ni kushinda na njaa tu! Nasubiri kwa hamu mdahalo wa Matola na Zomba. Najua tutapata point mujarabu toka pande

Mkuu Kimbunga nashukuru kwa nasaha zako ni kweli unavyosema ndio maana kuepusha shari niliamua kukaa kimya..

JF Daima.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu, to be honesty kuna baadhi ya mambo yapo general sana...wala hayahitaji shahada yoyote kuyafahamu!! Hata hivyo, kuna baadhi ya mambo yapo so specific...kwahiyo inabadi tutofautishe hapa!! Kwa mtu kama Mzee Mwanakijiji anaweza kudadavua kwa tani yake kuhusu maisha ya Watanzania...hilo lipo wazi!!!! Lakini kwake lazima imwee vigumu kuelezea kwa ufasaha na uhalisia kuhusu nini kimefanywa na nini hakijafanywa wakati wa Utawala wa JK....hii kitu ni so specific!! Nini kimefanywa na serikali ya JK ni tofauti sana na kusema nini kimefanywa na serikali ya CCM!!! Kama tunataka kumzungumzia JK, yaani hatuna budi kuanzia Deceember 2005 to date lakini kama ni CCM basi ni since Uhuru...hilo kila mtu anaweza kulizungumzia! Unless kama sijaelewa majadala utahusu nini...!! Na hapa wala hakuna la kupotosha, bali ndo ukweli wenyewe!!! Na wala sijasema kwamba Mwanakijiji hana haki ya kuchangia lakini hawezi kuwa BEST(tuelewe hilo neno) suit kuwa main speaker!!!!






Let's be serious, wala hamna suala la ubaguzi hapo....!!! Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuchangia, kutoa taarifa na uhalisia wa mambo. Mtu kama Mzee Mwanakijiji, au mwingine yeyote ambae hayupo Tanzania atakuwa anategemea zaidi taarifa za kusikia ama za kusoma ambazo wakati mwingine zinakuwa misleading. Kimbunga umesema upo Kingugi; itakuwa ni kichekesho kusema kwamba hali ya Kingugi mimi naweza kuifahamu vizuri kuliko wewe unayeishi huko!! Ok, I can be told, or even read kwamba Kingugi "yote" hamna maji......lakini wewe ndo utakuwa unafahamu vizuri zaidi kama kweli Kingugi "yote" hamna maji!! Mie nakaa Temeke.....itakuwa ajabu mtu aliye Kenya akawa anazifahamu vizuri barabara za Temeke kuliko mimi ninayeishi huku!! Tusichanganye matukio na mambo yaliyopo kama ambavyo Kimbunga umetoa mfano wako!! It's true that; Temeke yanaweza yakatokea mauaji na wewe uliye Kingugi ukapata taarifa kabla yangu....hiyo katu haiwezi kuwa kigezo kwamba wewe unaifahamu Temeke kuliko mie ninayeishi huko!!!

Tuache masihara.....hivi kweli ni sahihi kwa mtu aliye nje ya Tanzania ndie awe MSEMAJI MKUU kuhusu nini kimefanywa au hakijafanywa na serikali?! Kama itakuwa ni suala la kutoa ripoti ya nini kimefanywa na nini hakijafanywa, then u might be right lakini kama ni mjadala ambao wakati mwingine mtu atalazimika kuthibitisha kile alichokisema "kutokana na yeye alivyokiona" kile anachokitetea; then mtu aliye nje sio mtu sahihi vinginevyo watu walio serious wasingekuwa na sababu ya kwenda sehemu X ili waweze kuandika yale yaliyopo huko!!!

Mkuu nimekuelewa baada ya kudadavua juu ya kutoa report na kujua hali halisi ndani ya nyumba. Umenikumbusha kale kausemi kasemako SIRI YA MTUNGI AIJUE KATA. Kwa kuwa kata inaingia ndani ya mtungi basi inaujua vizuri mtungi badala ya kuuangalia mtungi kwa nje.
 
NasDaz Usisahau pia kuishi Temeke hakukufanyi ukayajua ya nchi nzima kwa uhalisi wake kama hupati taarifa kutoka kwenye media otherwise ukiishi Temeke ndio umeishi nchi nzima.
 
Last edited by a moderator:
Kimbunga mie nimeshafika nipo pembeni nasubiri Munakasha nimevaa miwani yangu ya 3D.
 
Last edited by a moderator:
14:07 gmt
nini kinaendelea, au mahakama imeingilia kati!!
 
mwali vp? ama zomba ndo yuko lumumba kutafuta madesa?
 
Last edited by a moderator:
Kimbunga mie nimeshafika nipo pembeni nasubiri Munakasha nimevaa miwani yangu ya 3D.

Kuna thread imeshaanzishwa kwenye jukwaa la great thinkers, ndo mjadala utakuwa huko
 
Last edited by a moderator:
mbona mjadala unachelewa kuanza, Matola nimemuona ila zomba sijui yu wapi au kaingia mitini?????
 
Last edited by a moderator:
Zomba kaingia mitini. Rais wake kasaini hupati mafao ya NSSF mpaka ufikishe miaka 55 wakati average life span ya mtanzania ni hardly 43 yrs.

na hapo ndo penye hasira sana manake ukweli Asprin sijui mtanzania ana nafuu wapi.
 
Last edited by a moderator:
Kimbunga mie nimeshafika nipo pembeni nasubiri Munakasha nimevaa miwani yangu ya 3D.

Mkuu Ritz kweli nimekuona kumbe uko hapo pembeni. Kwa mbaaaali namuona Rejao akijongea mjengoni. Tukimaliza Munakasha tuwe na Mchapalo kidogo kwa ajili ya kujenga mtandao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom