Invisible plz, badilisha AVATAR yako!

Invisible plz, badilisha AVATAR yako!

afadhali umekuja, kuiona tu avatar yako nimepata munkari wa kufanya kazi...
BT tatizo ni nini, macho? Basi na wewe jichagulie abatar ya macho mchuane na Invisible.

1. bugeyes.jpg 2. drowninginyoureyes.jpg 3. eyesbybokor.jpg 4. eyesspeak.jpg 5. mindhasathousandeyes.jpg 6.myeyesspeakwords.jpg 7.openyoureyes.jpg 8. Niendelee?
 
Last edited by a moderator:
INVISIBLE usibadili avatar yako kamanda wewe ni robot
 
Kipipi umesema kweli. Inawafanya wengi wamgwae. Na nisingependa mod wangu avae timidifying image.

Na yale maneno yake ya urobot, kweli amefanikiwa kuogopeka......pheeeewwww! Shauri yako mkuu, we endelea tu kumsema mie najiondoa kwenye hii discussion!
 
Kulthum uongo umeanza lini tena? Tena wewe ndo najua inakutisha kinoma hiyo avatar.

nyetk hainitishi hata kidogo ila inanihamasisha kitu flani yaaaan aaaaaaaaaaaaaah ndio ukweli huo
 
Ila kweli hiyo avator inatisha kama israel mtoa roho.bt wadada wa jf wagumu wote naona mnaifagilia kama vile mmezoea kazi za kulinda
 
INVISIBLE usibadili avatar yako kamanda wewe ni robot

Hizo picha juu No. 7 nimemwekea jicho la robot, ndo linalomfaa. Yale aloweka siyo ya robot, kuna mdau ameyait ya Israel, hahahahaaaa!
 
Nyetk namimi naomba ubadili avatar yako.. lol. weka walau hii hapa nishakuchagulia...

babies_50.jpg
 
Last edited by a moderator:
Nyetk namimi naomba ubadili avatar yako.. lol. weka walau hii hapa nishakuchagulia...

babies_50.jpg

Mkuu nimekusoma na n'nashukuru kwa offer. Nasubiri hoja iungwe mkono na wajumbe angalau watatu the n"taitinga.
 
Last edited by a moderator:
Ila kweli hiyo avator inatisha kama israel mtoa roho.bt wadada wa jf wagumu wote naona mnaifagilia kama vile mmezoea kazi za kulinda

Duh! Mkuu kama hata wewe umesema hivyo basi iko kazi!
 
Back
Top Bottom