kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
Vinini hvvyoooooo!!!!!
vingine havitajwi hadharani...
Vinini hvvyoooooo!!!!!
Balaa gani mama rutta?
Sasa li avatar gani hilo!!!!!!!!!!!
Ha ha ha!!!!vingine havitajwi hadharani...
teh teh teh... swaumu bwana!Ha ha ha!!!!
Taja basi... wote tunafunga masikio na macho!!!!!!!
Ha ha ha!!!!
Taja basi... wote tunafunga masikio na macho!!!!!!!
Hahahahahaaaaaaaaaaa... nimefumba bhanaaaumefumba macho wakati nakuona hapo jinsi ulivyokodoa
mijicho
bwana kukonyezwa raha ajue mkonyezaji loooo.Umeona eeeh akikonyeza utafikiri ndo amekuona live akaku don do kea
bwana kukonyezwa raha ajue mkonyezaji loooo.
Kuna siku nipo dodoma area c sehemu ya kujidai jibaba lizeeeeeeeeeee eti likanikonyeza nikajikuta nimenuna i feel ashamed ha ha ha ha infact sikumbuki nilikonyezwa lini mara ya mwisho ila nakumbuka visible ananikonyeza kila siku loo.
Mzima mamito?
Niko powa best.
Yaani km umemiss kukonyezwa wala hulalamiki shost...una come this wey...unatembelea kwa in visible unapata makonyezo yako mawili matatu....unatua nafsi maisha yanaendelea ha hah haa
ha ha ha nimeelewa kwa nini Kima Mchanga anadai avatar inamtisha katumia tafsida
hata mie simo natoka ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiii:car::car::car: nimefikisha ujumbe tuMie simoooooo
hata mie simo natoka ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiii:car::car::car: nimefikisha ujumbe tu
Neno
:behindsofa: