Invisible plz, badilisha AVATAR yako!

Invisible plz, badilisha AVATAR yako!

Unachokitafuta utakipata hivi punde......................LOL
Hahahahaaaa! sasa wewe ndo utapata hiyo kitu coz una mwelekeo wa kumfanya peace maker wetu kuwa dictator!
 
Its fascinating! Represents POWER!
Nyetk mbona avatar yake nzuri tu!
 
Yawezekana mwenyewe ndo anapenda kuogopwa! Mi ngoja tu nijifunze kuizoea japo ndo inayonifanya namgwaya invisible!
 
Back
Top Bottom