ZirlovimovicZirkov
JF-Expert Member
- Sep 3, 2025
- 207
- 383
Hawa ninaoishi nao mbona wako vizuri, wasipotumia kazi zinasuasua sana😂😂😂Yale majani naona wanaotumia ni kama hawapo timamu aiseee
Hapana mkuu.Wewe unatumia?
Ukinifungulia PM nitakuja nikuulize personal.Polee sana 😢 🤣
Kwetu wa kike ni mimi pekee😊
Wengine ni wanaume
Asante sana.Nawe pia mkuu barikiwa sana
Wanafanya kazi ngumu au za kutumia akili zaidi?Hawa ninaoishi nao mbona wako vizuri, wasipotumia kazi zinasuasua sana😂😂😂
pm nishafunga situmii vp mkuu kuna vitu private unataka tuogee?Kaka nakutafuta kwenye pm inagoma dondosha namba mazee
Hawa wangu ni kazi ngumu.Wanafanya kazi ngumu au za kutumia akili zaidi?
Si uwe mchungaji tu mumy
Nje ya mada au tufungue kanisa tupige hela bro 😅
Ndani ya mada
Sauti ya ndani mimi nimeupuuza mara kadhaa na kuishia kukosea
Ndio maana nauliza wadau
Je intuition na reasoning ni kipi kitangulie au vinafanya kazi kwa pamoja
Sawa maaIntuition ianze reasoning ifuate
Uwezo wa kuongea unajifunza mumy,huo ujasiliamali ni sadaka za wanakondooUchungaji unaendana na ujasiriamali na uwezo mzuri wa kuongea
Mie vyote sina mkuu
Uwezo wa kuongea unajifunza mumy,huo ujasiliamali ni sadaka za wanakondoo
Sema tu huna wito wa uchunguji,ila pesa iko mingi sana kwa wanakondoo
Nakataa kabisa,kuna watu mashuhuli sana ambao hawakuwa waongeaji wazuri lakini baada ya kupata mafunzo kadhaa walikuja kuwa waongeaje wazur sanaKuongea nilishajifunza nikagonga mwamba
Nimekubali mimi sio muongeaji
Nakataa kabisa,kuna watu mashuhuli sana ambao hawakuwa waongeaji wazuri lakini baada ya kupata mafunzo kadhaa walikuja kuwa waongeaje wazur sana
Ndio kuna watu wamezaliwa wapo gud kwa hilo lakini ni skills ambayo inafundishika pia,sema tu umejikatia tamaa
KinyoongeHaya
Ndioo kakapm nishafunga situmii vp mkuu kuna vitu private unataka tuogee?
FactLazima tujue kwamba Intuition sio hisia kuna tofauti kubwa. Kusikiliza Intuition pia sio kila mtu anaweza, kama unaweza kuisikiliza na kuitenganisha na hisia zako hii huwa haidanganyi.
Watu wengi tunapenda reasoning sababu unaweza kuwajibika kwa matokeo yake (yani nafanya hiki kwa sababu hii na natarajia matokeo haya).
Intuition yenyewe haina sababu, haiachi kukwambia jambo, ukiiipuza siku likitokea la tofauti ndo unakumbuka aah lakini kuna kitu kiliniambia nisifanye hii. Na inaua reasons zako zote zilizofanya ufanye hilo jambo.
At the end "Fuata moyo wako, usisahau akili yako"
FactNo not true imagination sio intuition
Imagination ni mawazo ya picha/uwezo wa kuunda au kufikiria kitu vile unavo taka iwe.
Mfano Unajifikiria ukiwa CEO wa kampuni yako miaka 10 ijayo.
Intuition hisia ya ndani/inayokuja moja kwa moja kwamba jambo fulani ni sahihi, si sahihi, salama au hatari.
Mfano Unakutana na mtu na unahisi tu, Kuna kitu hakiko sawa hapa, ingawa huwezi kueleza mara moja kwa nini.
Ndio huwa iko hivyo, hiyo ndio sauti pekee yenye connection ya muja kwa moja na universeMkuu nipo pamoja na wewe kwangu mimi naona au naamini intuition ndio muongozo bora kabisa wa mambo mengi sana kwenye maisha yetu
Ni kauli yenye sauti ndogo kabisa lakini ni very powerful kwa matokeo, ni muongozo ambao hauna shaka na wenye kujua yake ambayo hatuyajui
Ni kama Mwenyezi Mungu anajaribu kuwasiliana na sisi na kutupa dira au muelekeo wa kufuata,ila kwa bahati mbaya sana huwa tunaidharau sauti yetu ya ndani,matokeo yake tunakutana na mambo ambayo hatuku yatarajia kabisa
Huu ndio uhalisia mkuuYep mkuu,nakuelewa sana hapa na ndio msimamo wangu au imani yangu,intuition is like God is speaking to you au wanasayansi msiotaka kuita Mungu huwa mnasema Nature,kwahiyo ni kama Nature is speaking to us,na mara nyingi sauti ya ndani haina kigeugeu,kama inakuongoza inakuongoza na kama inakutahadharisha ina kutahadharisha,kifupi imenyooka kama ruler
Anhaa, wakasemaje😅Tulifundishwa hii tukiwa hatua ya kipaimara juu ya sauti ya ndani/ dhamira