Introverts Vs Relationship

hahhaahhahhahahahha mi nikikuandikia text utasema hurulayne huyu hapa!
hamna kitu naweza kama digital friendship.
Physical majanga!
 
This reminds me kuna mahal tulipanga kabla ya kuhamia kwetu na mke wangu, hatutoki nje. C yy c mm, wengine wanatoka wanajuana, cc kama wakat wakutoka au kuingia tukikutana nao nje ndo salam tu. Za sahz imetoka, hawakumzoea wife wala mm. N bad enough kulikuwa na wapangaj wengi madem, mpaka tunaondoka kuna ambao hatujawahi hata salmiana. Sema ndo hvyo wengne wanaona mnajiskia ila ni ngumu kujimix, ni sisi tu ndani na movie au jion tunatoka for a walk na kurudi kagiza kameingia kama tukiwahi toka ofsin. Majirani wengine makelele, mziki mkubwa mara wanakaa nje vbarazan wanakunywa. Cc kama hatupo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakupa pa
Nani amekupa password yangu aiseeeh!
Kwanini umenielezea vizuri hivi!
Nilikuwa nabisha kuwa mimini introvert until nimesoma kitabu kimoja kuwahusu!
Nikagundua haya yote na nikahitimishai am extreme introvert.
Mi relationship zangu zote ,its either nitongoze au nikuruhusu mnooooo in my life nikiwa tayari nishahitimisha tht I want u.
My man is my king, ever!
Very loyal,yani ah sina haja ya kurudia!
Umeeeleza kilakitu nilivyo, as watu hufikiri nawajuaaaaa, au nimeazoeaaa, au niko nao close.
kUUUUUMBE, nna kadunia kangu hako naexist mimi, wanangu na mhusika, full stop!
 

Yaani unaweza kudhani una rafiki kumbe kichwani wala haupo...we hv our own world na sio km unamdharau au humpendi mtu basi tu yaani inatokea automatically
 

Hahahhaha I wish wifi ako angesoma hii maana ana tabia kama zako na watu huuliza ninawezaje kuwa nae ni mwaka wa nne sasa anasema mimi ni mtu pekee anayeweza kupiga nae story wengine hawezi kabisa kashindwa yani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbuka introvert ni tatizo(psychological effect), hivyo basis anapaswa kuwa na MTU ambaye ni well mentally ili aweze kum expose kwenye mazingira ambayo yataanza kumfanya achangamane na watu

Sent using Jamii Forums mobile app

Introvents sio tatizo ni human personality kama zilivyo personality nyingine ndio maana ni ngumu kusikia mtu kajitibu kutoka introvent kwenda extrovent


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi ni introvert ambaye baada ya kugundua nilijaribu kuongeza tabia za extroverts kidogo hivyo huwa live nioiwa na wachache niliowazoea. Nikisoma wengi walioandika hapa asilimia kubwa hawana uelewa wa sifa za introvert kwa mfano wakiwalinganisha na madomo zege bila kujua kuwa introverts huanalyze sana situation kabla ya kuiamini hatua ya kuchukua yaani introverts hawakurupuki bila kujiridhisha katika maamuzi. Yapo mengi nimetaja 10% tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh nlikua sijijui kam m ni introvert
Kumbe ndo asili ya intro manake nikimtumia beb text moja akishajib naon kam kero na yy ananion selfish...Yess tulishachokan na tushaachana intro na extro ni vitu tofautiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi text ntakutumia ila siyo Kila muda.


Mimi sipendi kuongea na simu muda mrefu. Au ile kutafutana Kila wakati .



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Same boat, except am a guy. Ila kuna vtu vinawiana. Hasa kutoka solo n want to b alone akija mtu anavuruga furaha yako na utulivu wako.
 
Unajua kuna ile mwanamke akishakukubalia mahusiano Kuna jinsi inabidi umpange, unataka aweje, mambo gani hutaki kwake, mambo gani ayazingatie, mambo gani awe makini nayo (hasa ujanja wa wanaume ili wasije kumlaghai kizembe) Sasa mm hizo mambo nilikuwa siwez kwa kuongea..nilikuwa nachapa bonge la mbarua, nilikuwa naandika nondo kali sn aisee na madem walikuwa wanaelewa na wanazingatia kwa kiasi kikubwa.

Njoo kwenye kuongea Sasa...πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…